shida ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Dharau kubwa, waziri wa CCM anawaza simu za mkopo wakata taifa lina shida ya maji na umeme kila kona

    CcM imejaa tabu na matatizo 👇
  2. N

    Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
  3. toplemon

    Serikali mpo wapi watu wa Ubungo Kibangu wiki ya 3 hatuna maji hata tone, DAWASA wametutelekeza

    Maeneo ya Kibangu Juu huku mitaa ya kwa Mdee, kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji. Bora maeneo mengine yanapatikana hata kwa mgao, sisi hatuoni hata ya mgao wala nini na huku hata mbadala wa visima hamna yaani ni kilio. Dawasa mnajua kututesa...
  4. Dibwi Method

    Kutatua changamoto ya maji nchini

    March 11, 2022. Mwenyekiti wa Taasisi ya ushirikiano uwekezaji katika sekta ya maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership) ambaye pia ni Rais mstaafu wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete; Benki ya Maendeleo ya Afrika imesema kwamba dola za Kimarekani bilioni 64 zitahitajika kila mwaka...
  5. R

    Kuhusu shida ya maji, Tanzania kuna tatizo zaidi ya CCM

    Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba? Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc...
  6. J

    Wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?

    Kwa ndugu zangu wakazi wa Dar es salaam wilaya ya Kinondoni, ni wapi naweza kupata yale magari ya maji safi ya bomba kwa bei nafuu?
  7. Marathon day

    Rais uendapo Tanga jaribu pia kufatilia shida ya maji Handeni hasa mji mdogo wa Kabuku

    Katika Wilaya ya HANDENI tatizo kubwa ni shida ya maji, niliwahi kununua shamba Kijiji cha KABUKU, Nimepitia sehemu nyingi za maeneo hayo, kwakweli watu wanaishi kama wanyama, huwa najiuliza mbunge wa pale hii kero haitambui? Sijawahi kusikia akiizungumzia bungeni, kule Kila mtu anaejenga...
  8. Analogia Malenga

    Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

    Abiria ndani ya ndege ya Kampuni ya Precision, jana waliingiwa na hofu ya usalama wao baada ya injini moja kuzima ikiwa angani. Ndege hiyo yenye namba PW 467 ikitokea Kahama, ikielekea Dar es Salaam kupitia Mwanza, ilizima injini baada ya dakika 51 kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza...
  9. GUSSIE

    Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam. Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
  10. N

    Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  11. B

    Tathmini: Shida ya maji hadi ziwa Victoria?

    Ni wazi kuwa kama nchi tunapita wakati mgumu sana uliohitaji busara zaidi kuliko maguvu. Kuna shida ya maji Dar tuliyoaminishwa kuwa ni kupungua kwa maji mto Ruvu japo unaendelea kumwaga yake baharini. Hivi kiwiano, maji kiasi gani yanavunwa Ruvu kulinganisha na yanayoishia baharini? Kwamba...
  12. G

    Ndanda kuna shida ya maji sana

    Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini. Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...
  13. M

    Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika. Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
  14. CM 1774858

    Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

    Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21. Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL Fedha hii ni kwaajili ya...
  15. Love Nuru

    Shida ya maji ndani ya tozo Morogoro Mjini

    Mamlaka husika i.e. Morowasa na mamlaka zenye mamlaka ya kuwawajibisha Morowasa tunaomba mtufikirie sisi wananchi Morogoro manisapaa, kata ya Kihonda-maghorafani. Ni wiki ya tatu sasa, maji hayajatoka katika mabomba yetu, kibaya zaidi hatujapewa taarifa yoyote kama kuna tatizo au ni uvivu tu...
Back
Top Bottom