Mabibi na mabwana, inastaajabisha pale mshindani mmoja anapojipa wajibu wa kuweka sheria, kanuni, taratibu n.k kwa washindani wengine kufuata ili wapate kushinda mpambano ambapo yeye naye ni mnufaika.
Kwa minajili hii ni vipi mamba akamwongoza binadamu kuvuka mto salama? Vipi Fisi akashauri...