sheria

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

    Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii. Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

    DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara. Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Haiti: Waziri Mkuu ambadilisha Waziri wa Sheria

    Serikali ya Haiti imeendelea kuingia kwenye sintofahamu baada ya Waziri Mkuu, Ariel Henry kumbadilisha Waziri wa Sheria, Rockfeller Vincent Pia, Afisa wa Juu amejiuzulu akisema hawezi kumtumikia Kiongozi anayeshukiwa kuhusika kwenye mauaji ya Rais Jovenel Moise Henry amekana kuhusika katika...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mwekezaji anaruhusiwa kununua ardhi kwa wananchi au sheria ni utwaaaji?

    Habari wadau, Wajuzi wa sheria naomba mnipe vifungu vinavyoruhusu mwekezaji kuruhusiwa kununua mwananchi mmoja mmoja na kuwaondoa kijiji kizima kwa muda usiotabirika (Buyer to Seller). Binafsi natambua kwamba mwekezaji akiitaji ardhi ya wananchi anapaswa kulitwaa na kuwaondoa wote kwa pamoja...
  5. JamiiForums Tanzania Yajue mabadiliko yanayokuja katika Sheria ya Usalama Barabarani

    Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:- 1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Wafanyakazi wanaodumu kazini ni wale wanaomsoma Rais yukoje na siyo wale wanaoisoma Katiba na Sheria

    Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma. Hii maana yake nini. Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje. Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi anavunja sheria za nchi mchana kweupe

    Mawaziri wote kwenye viapo vyao huwa wanaapa kuhifadhi, kuitetea na kuilinda katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kiapo hicho ni sheria na hupaswa kufuatwa kwa mtu yeyote anayepewa dhamana ya uwaziri kwani anakuwa anafanya kazi kwa niaba ya Rais wa nchi. Jambo la kushangaza badala ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Leo Mbowe ameitwa Gaidi, kesho sheria hii itatumika kuwanyamazisha wana-CCM wenye maono chanya

    Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa. Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii. Naamini Mbowe ametangulia ili...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hii sheria ya Tanzania ya kuzuia ugaidi - Mbowe na wenzake wapambane sana mahakamani

    https://www.tanzanialaws.com/index.php/principal-legislation/prevention-of-terrorism-act kwa kifupi UGAIDI NA TAFSIRI KATIKA SHERIA YA KUZUIA UGAIDI SURA YA 19 YA MWAKA 2002. Tafsiri na kuzuiwa kwa vitendo vya ugaidi.kifungu cha 4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili: Vyama vya siasa vingi haviweki fedha benki, hii ni kinyume cha sheria

    Naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema katika uhakiki wa vyama vya siasa unaoendelea nchini wamegundua vyama vingi havihifadhi fedha za chama benki badala yake wanatumia njia za kienyeji kuhifadhi mapato ya vyama vyao. Nyahoza amesema sio utaratibu wa kisheria na amevitaka...
  14. JamiiForums Tanzania NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

    Wanabodi kuna hii Taarifa nimeiona Kwenye media zingine ikisema Shirika la Mazingira Nchini NEMC Limeitoza Kampuni ya Lake Oil Fine ya Tsh Bil 3.3 kwa kujenga vituo vingi sehemu tofauti za Nchi bila Kibali. Hili limekua kama mshituko hasa kwa kuzingatia ukweli kwamba suala la mipango miji...
  15. B

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ripoti ya utafiti wa Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na Uhujumu Uchumi

    06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kutakiwa kutoongea lolote baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge iko kwa mujibu wa sheria au ni ubabe tu?

    Kumbukumbu zangu zinaonyesha yafuatayo; Komredi Pascal Mayalla aliwahi kuhojiwa na kamati lakini hakuwahi kuzungumzia kilichojiri japo hata maamuzi ya kamati hatujawahi kuyasikia. Alhaj Prof Mussa Assad aliwahi kuhojiwa na kamati naye hakusema lolote baada ya mahojiano. Jerry Slaa alihojiwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

    Hawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia. Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
  18. JamiiForums Tanzania New Zealand kubana zaidi Sheria kudhibiti mashambulizi ya kigaidi

    Waziri Mkuu, Jacinda Ardern amelitaka Bunge kupitisha Sheria itakayofanya kupanga mashambulizi ya kigaidi kuwa kosa Hatua hiyo inakuja baada ya Mtu mmoja Raia wa Sri Lanka kushambulia kwa kisu watu saba kabla ya kuuawa na Polisi kwa risasi Septemba 03, 2021. Waziri Mkuu amesema watu watatu kati...
  19. JamiiForums Tanzania Ireland: WhatsApp yapigwa faini ya Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi

    Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ngowi aishukia Yanga utumiaji hovyo wa jezi

    Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…