sheria

  1. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Wenu Wajuzi Wa Sheria Au Waliowahi Pitia Ishu kama hii

    Salaam Wakuu. Naomba ushauri kwa wajuzi wa sheria au hata wasio wajuzi wa sheria lakini wamepitia ishu kama yangu. Kufupisha Stori, Nilinunua Viwanja viwili maeneo ya tabata, viwanja hivi vipo kwenye eneo la sqm 6000+ (Lina hati ) mimi nimenunua maeneo mawili ndani ya eneo hilo kubwa, na...
  2. JamiiForums Tanzania Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
  3. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sheria kali za Ndugu zetu Taliban

    Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume. Hawaruhusiwi kunyoa ndevu. Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
  5. JamiiForums Tanzania Ije sheria kuwanusuru 'wanaosota' benchi muda mwingi

    Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake. Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani. Inaleta maudhi kuona baadhi...
  6. JamiiForums Tanzania Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

    Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga. Ushaur; Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo. Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: nataka itumike "Single Source." Je, "Force Account" za JPM na "Zabuni Shindanishi" za JK zimeishia wapi? Sheria ya manunuzi imefutwa?

    Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia. Swali langu lina sehemu mbili tatu: hivi taratibu za matumizi ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile ateuliwa Kamati ya Sheria Ndogo na Masuala ya UKIMWI

    MHE.NDUGULILE (MB) ATEULIWA KAMATI YA SHERIA NDOGO NA MASUALA YA UKIMWI Mbunge wa Kigamboni Mhe.Faustine Ndugulile Leo Oktoba 09,2021 amekuwa sehemu ya walioteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai ambapo ameteuliwa kuwa Mjumbe kwenye Kamati ya Sheria Ndogo na...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Sheria Ndogo ya Bunge

    Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

    Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka wadau wa mfumo wa Haki kuzingatia Sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria. Ameeleza, "Tunaweza kuwa na majengo mazuri na mfumo bora wa TEHAMA, lakini kama Mahakimu, Majaji na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria na kanuni za soka msaada wenu unaitajika

    Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

    Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza, Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi

    Nawasalimia kwa jina la JMT, Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa kisheria ukilinganisha na mtaji wake?

    Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake? Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua? Asanteni wanasheria!
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu sheria ya uzururaji na jinsi ilivyosimamiwa

    Habari wakuu. Nimekuwa nikisikia kuhusu kuwepo kwa hii sheria ya uzembe na uzururaji miaka ya huko nyuma. Nasikia sasa imebadilika. Naomba kufahamu sheria hii ilivyoanza na jinsi ilivyosimamiwa. Natanguliza shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali turekebisiheni Sheria ya Usajili wa Blogs vijana tujiajiri

    Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini, Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati nk lakini nashangaa kumiliki blogu na kuisajili hapa nchini ni gharama kubwa mpk kufikia milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…