sheria

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ufukuaji wa Machifu unavunja Katiba na Sheria. Samia akemewe

    Kupitia mtandao wa ClubHouse Mzalendo wa Kweli Tundu Lissu anahutubia na anaeleza kwa kina historia ya machif. Ameeleza chimbuko la machif wakati wa ukoloni na kufutwa kwake 1965. Anasema katika utawala wa Mwalimu Nyerere bunge la Tz chini ya Katibu Pius Msekwa lilitunga sheria kupiga marufuku...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu Wizara ya Afya; Haya mambo yatungiwe sheria na nchi nzima kila hospitali zote zizingatie

    Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe! Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu! Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi! Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana! Ni vigumu kuyaelezea yote hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Kwema Wakuu! Mimi sina mengi ya kuzungumza. Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa. Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu sheria mpya

    wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi. Je na ile sheria inayowapa nguvu upande wa mashtaka na police kumkamata mtu pindi mahakama inapomuachia baada yakukaa ndani muda...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Kais Saied avunja Baraza Kuu la Mahakama, Majaji wasema ni kinyume na Sheria

    Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa kimya. Rais Saied amewashutumu Majaji kwa upendeleo na ufisadi. Mwezi Julai 2021, alijiimarishia...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kuzaa na mke wa mtu?

    Habari Wakuu, Ninaomba kufahamishwa sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine. Na unatakiwa kufata utaratibu gani kumchukua mtoto anapo fikisha umri wa kulelewa na baba. Hii imenitokea...
  10. JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  11. JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
  12. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8. Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea. Hii ndio Taarifa iliyopatikana...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria za ulimwengu, sidhani kama Mungu ni muweza wa kila kitu!

    Kabla sijaelezea kinagaubaga kuhusu kichwa cha uzi ningependa Kwanza niandike mtazamo wangu na jinsi ninavyoelewa kuhusu Mungu. Kiufupi unaweza nitafsiri kama "Agnostic",lakini tafsiri hii hainifungi kuwa siwezi kunena chochote kuhusu Mungu ama nadharia za Umungu!. Kwanza nieleweke hivi kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria mbalimbali kufanyika Bungeni: Wananchi waalikwa kutoa maoni yao (Pitia mabadiliko hapa)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 7) Act, 2021. Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing)...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nchi gani nyingine maadhimisho ya Siku ya Sheria Mgeni Rasmi huwa Rais?

    JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
  16. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wananchi hukaribishwa kushiriki kutunga sheria

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema bunge linapotangaza kupokea muswaada na kuhitaji mawazo ya wananchi, ni muhimu wananachi kutumia fursa hiyo kupeleka mawazo yao. Amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria ambapo amesema mchakato wa utungaji wa sheria...
  17. JamiiForums Tanzania Kilele cha Siku ya Sheria 2022: Rais Samia ataka Utu kuzingatiwa katika utoaji wa Haki. Anuani za makazi kukamilika kabla ya Sensa ya Watu na Makazi

    Leo Februari 02, 2022 katika ukumbi wa Chinangali Park, Dodoma Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini akiwa kama Mgeni Rasmi. Kauli Mbiu ni: Zama za Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, Safari ya Maboresho Kuelekea Mahakama Mtandao UPDATES: RAIS...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi siku ya sheria, Februari 2

    Uongozi wa Mahakama ya Tanzania, umesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza sherehe za Siku ya Sheria Februari 2, Chinagali jijini Dodoma, badala ya Februari Mosi, 2022. Hatua ya kuahirisha sherehe hizo zilizokuwa zifanyike Februari Mosi imetokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Sheria haina vifungu vya msamaha wala kuvumiliana. Iweje Rais wa Nchi atangaze misamaha mitatu kwa watumishi wenye makosa?

    Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi! Hili lakutangaza misamaha likoje? Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni! Vipi Kuna kanuni za kusameheana? Kama hazipo kwanini kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…