Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,683
Reaction score
27,603
Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa
FB_IMG_1777996790905.jpg

Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa kwanza? Mtume (s.a.w) akajibu kuwa, ‘Hawezi kuolewa na aliyekuwa mume wake wa kwanza hadi yule mume wake wa pili amuingilie au awe amekwisha muingilia.’” (Bukhari, Hadithi Na. 187, Juzuu ya 7)

Je TORATI inasemaje kwa tukio kama hilo?

Katika Kumbukumbu la Torati 24:1–4 Mungu aliweka sheria hii wazi sana

Mwanamke akiachwa na mume wake, akaenda kuolewa na mume mwingine, kisha huyo wa pili naye akamuacha au akafa
mume wake wa kwanza HATARUHUSIWA kumwoa tena.
Jambo hilo ni chukizo mbele za Bwana.

Kwa lugha nyepesi

TORATI INASEMA 👇👇
Mume wa kwanza anamwacha
Mwanamke anaolewa tena
Mume wa pili anamwacha / anakufa
Mwanamke anatamani kurudi kwa ex wake

Mungu anasema:
USIFANYE HIVYO.
“Mume wake wa kwanza asimtwae tena awe mkewe.”

Muhammad anapingana na Torati anasema 👇

mwanamke huyo anaweza kurudi kwa mume wa kwanza ilimradi tu alale na wa pili.

Hii ndiyo iliyozaa ile dhana ya halala marriage.
Yaani ndoa ya pili inafanywa kama daraja la kumrudisha kwa wa kwanza.

TORATI haisemi “subiri alale na wa pili.” inasema:

Akishaingia kwenye ndoa ya pili, mlango wa kurudi kwa wa kwanza umefungwa.

Hakuna:
kusubiri consummation,
kusubiri kuingiliwa,
wala kupanga ndoa ya muda.
Ni marufuku moja kwa moja.

Mungu alikuwa anazuia:
mwanamke asiwe kama bidhaa ya kupokezana.

Lakini Muhammad anasema apewe👇
talaka tatu,
ndoa ya mpito,
Aliwe kwanza na huyu jamaa wa pili
kisha kurudi sasa

Kumbuka Sharti ALIWE kwanza ,

UKIFATILIA VIZURI UTAKUJA KUONA MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITENGENEZEA SHERIA KAMA HIZI ILI KUWALA WANAWAKE KIULAINI
 
Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa
View attachment 3584446

Unaweza kutuambia kwa nini likaitwa kumbukumbu la torati ? Hivi Mtume Musa alipewa torati au kumbukumbu la torati? Tuanzie hapo
 
Mudy lazima tu Kuna demu alimuacha sasa akawa anamtaman Tena

Lazima tu ,ndio maana akajishushia hiyo Hadith
 
Mkuu andaa nyaraka zingine mbili kama hii uweke pending kwaajili ya kusindikizia na ubingwa wa epl na uefa, once the gunners wakiinua kwapa unazitupia jukwaani.
 
Back
Top Bottom