Wakuu,
Sijui kama kuna kitu sijaelewa ila naona kama taifa ni kama tumechanganyikiwa hivi au niseme tumepoteza muelekeo au ufahamu fulani.
Siku inapotengwa kitaifa kumuenzi mtu fulani maana yake siku ile inatakiwa kutumia kutafakari, kujadiliana na kuenzi mafundisho mema ya yule tunayemuenzi...