Je, una sherehe hivi karibuni? Harusi, send off, happy birthday n.k? Pitia huu uzi

politicians

Senior Member
Apr 8, 2018
154
124
Habari wakuu!,

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,je una sherehe hivi karibuni kama harusi,send off,happy birthday n.k, kama jibu ni ndio basi hii taarifa ni nzuri na muhimu sana kwako, tunafahamu kuwa linapofika swala la sherehe yoyote watu hupanga mahitaji muhimu kwa ajili ya sherehe ikiwemo swala la upigaji picha(photographer)na(video shooting) hii ni kwa lengo la kutunza kumbukumbu muhimu za tukio hilo,
hivyo basi kwa kutambua umuhimu wa kutunza kumbukumbu ya tukio muhimu la sherehe yako.

Tumekuja na project mpya,nzuri na ya kisasa zaidi ya kutengeneza album ya picha za tukio lako muhimu na
kuweza kuzitunza kwa mda mrefu zaidi vizazi na vizazi,kitaalamu tunaiita (Digital ALbum)kwa bahati mbaya
kutokana na utenegenezwaji wake kuwa na mambo mengi sitoweza kueleza kila kitu hapa ila kama kuna mtu
mwenye sherehe hivi karibuni na ana uhitaji tuwasiliane kwa maelekezozo zaidi kwa namba hizo hapo
+255682017479,Asante!
 
Nogesha Tangazo Kwa Picture Watu Waone Huo Ujuzi Wako Watakaovutiwa Nao Wanakutafuta

Mkono Mtupu, Haulambwi!! Tangazo Kavu Mno Kama La Dalali
 
Habari wakuu!,

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,je una sherehe hivi karibuni kama harusi,send off,happy birthday n.k,kama jibu ni ndio basi hii taarifa ni nzuri na muhimu sana kwako,tunafahamu kuwa linapofika swala la sherehe yoyote watu hupanga mahitaji muhimu kwa ajili ya sherehe ikiwemo swala la upigaji picha(photographer)na(video shooting) hii ni kwa lengo la kutunza kumbukumbu muhimu za tukio hilo,
hivyo basi kwa kutambua umuhimu wa kutunza kumbukumbu ya tukio muhimu la sherehe yako.

Tumekuja na project mpya,nzuri na ya kisasa zaidi ya kutengeneza album ya picha za tukio lako muhimu na
kuweza kuzitunza kwa mda mrefu zaidi vizazi na vizazi,kitaalamu tunaiita (Digital ALbum)kwa bahati mbaya
kutokana na utenegenezwaji wake kuwa na mambo mengi sitoweza kueleza kila kitu hapa ila kama kuna mtu
mwenye sherehe hivi karibuni na ana uhitaji tuwasiliane kwa maelekezozo zaidi kwa namba hizo hapo
+255682017479,Asante!
Umelipia tangazo lakin ,sio kwa ubaya ila kwa neema za jf
 
Back
Top Bottom