Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".
Nchi hii Ina Katiba ,japo ni Katiba MBOVU isofaa, bado ni Katiba ambavyo inaliongoza Taifa.
Yeyote ambaye anaonekana ni mvunjifu wa Sheria , Kwa Mujibu wa Katiba, Kuna maelekezo yametolewa namba gani ya kumuwajibisha.
HATUWE KUA NA TAIFA AMBALO KIONGOZI WA DINI, NA AMBAYE NI MWANACCM, MBELE...
Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha.
Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha.
Kwa mantiki hii na muktadha huu...
Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa"
"Urais kazi ndugu...
Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka.
Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu
Mpendwa Sheikh Ponda,
Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini...
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
Assalaamu a'laykum.
Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio la mapinduzi kisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa...
Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi.
Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa.
Hayo yamebainishwa...
Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke.
====
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee.
Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo.
Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi.
Ijapokuwa ni haki yake lakini hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafuata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama...
Sheikh hatakiwi kuivaa siasa. Ukimuona sheikh anaivaa siasa mwisho wake huwa mbaya huangukia kuwa chawa wanasiasa kama sheikh Ponda hivi sasa na heshima kwa jamii hushuka.
Tumuangalie Mtume Muhammad (SAW) alikuwa kiongozi wa kisiasa katika muktadha wa jamii ya wakati wake. Alikuwa:
.1...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.