sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Utabiri "Feki" wa Sheikh Yahya mwisho jana

    Sikuwahi kumsikia Sheikh Yahya Hussein, mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki akitoa utabiri huu. Na wala hakuna mtu amewahi kuketa voice note/ video clip kuhusu maneno hayo. Lakini maneno hayo yalikuwa yana trend kila uchaguzi ulipotokea kati ya 2015, 2020 na 2025. Sasa baada ya Rais Samia...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli haya maneno yalitoka kinywani mwa sheikh yahaya au ni stori tu?

  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Nassor Yahya: Kila mmoja ahamasishe mwenzake akapige Kura

    Sheikh wa mkoa wa Singida Nassor Yahya amefafanua umuhimu wa kupiga kura ambapo amesema “tukamchague kiongozi tunaemtaka na tusipofanya hivyo atachaguliwa kiongozi tusiemtaka sisi” Sheikh Nassoro amezungumza hayo kwenye Kongamano la Viongozi wa Dini mbalimbali kuliombea Taifa Amani na Utulivu...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mustafa: Maandamano yao ni batili

    Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Sheikh Mustafa Rajab, amesisitiza kwamba maandamano yanayokubalika ni yale ya wananchi kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kurudi nyumbani, akiwahimiza Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Sheikh Alhad Mussa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Nurdeen Kishki: Uislamu akubaliani na mauwaji kwa silaha yoyote hile kwa sababu zozote zile

    Habari wanajamvi poleni kwa majukumu. Huyu sheikh anachanganya dini na siasa au anaongelea uhalisia wa hali ilivyo nchini Tanganyika? Uislamu akubaliani na mauwaji kwa silaha yoyote hile kwa sababu zozote zile kwa kisingizio chochote kile, atakaye toa roho ya mtu mmoja itakula kwake siku ya...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ponda alalama mawakala wake 35 kuzuiwa jimbo la Temeke

    Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad: Kijana usishawishike kuharibu nchi yako maandamano siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka vijana kutokubali kushawishika kuiharibu nchi yao kwa kufanya vitu visivyofaa kama maandamano siku ya uchaguzi.
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Siku ya Uchaguzi hakuna atakayebaki ndani, wote tutajitokeza kwa wingi kupiga kura

    Wakuu, Akizungumza katika kongamano la viongozi wa dini ya kiislamu leo, Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema kuwa Waislamu mkoani Mwanza wameamua kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kupiga kura kwa amani na utulivu ifikapo Oktoba 29, mwaka huu ili kulinda...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

    Ni maneno mazito sana na yenye kukata kama msumeno. Maana yake nini? Je watu wameamua kusema liwalo na liwe? Hawa wanamchukia samia sababu ya Dini yake tu hamna lolote.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa nimeshindwa mwelewa Sheikh. Anamaanisha kweli?

    Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa? ===== JamiiCheck imefuatilia kipande hicho cha video na kubaini kuwa kimekatwa kutoka kwenye video ndefu hivyo kutokukamilisha ujumbe uliokusudiwa. Kwa kutumia Google Reverse image search imebainika video...
  12. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusamehe sana Sheikh; tulipuuza maneno matakatifu ya Quran

    Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke. Allaah Anasema ndani ya Qur-aan Tukufu (tafsiri): الرِّجَالُ قَوَّامُونَ...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Hussein Bin Mahmoud al-Ghassany

    MAJINA YAKE NA MAHALI ALIPOZALIWA Al-Allamah Shaykh: Hussein bin Mahmud bin Hussein bin Abubakar Al-Ghassany Al-shadhily Al-yashrutwiy. Babake: Shaykh Mahmud Al-Ghassany. Mamake: Mwana Mwema bint Hajji Musa bin Ahmad Musa. Shaykh Hussein Al-ghassany alizawa Kilwa kisiwani Tanganyika...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hameed Jongo: Walioichangia CCM wamechangia Amani na Maendeleo

    Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa...
Back
Top Bottom