"Wanasema baadhi yao kwamba itakuaje mpiganie amani wakati nhi hakuna haki, wanasema hivyo lakini sisi tunasema nchi hii ipo haki kwa sababu taasisi zinazosimamia haki za watu zipo zote mahakama zipo, vyombo vya dola polisi wapo" -Amesema Sheikh
-------------
Hii battle ya Masheikh ya masheikh kukataa kukubali kuwa nchi hii haina haki ishakuwa ngumu kuwaelewesha
Sheikh unapopima uwepo wa haki kwa kuzingatia vyombo vya kusimamia haki kama Mahakama na vyombo vya ulinzi hii inatupa taswira ya udumavu wa ubungo uliobeba kichwani.
Mahakama na vyombo vya ulinzi vimeshindwa kusimamia wajibu wao, kwa sasa wananchi tunaamini Polisi ndiyo wauaji na anayetoa order ya mauaji ni Serikali na anayekandamaiza zaidi ni mahakama kwa kuwapa vijana kesi za uhaini shtaka ambalo kwa sasa imekua ya kawaida na mazoea kwa mahakama
"