shambulio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wanne wauawa katika shambulio la risasi

    Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waliofariki kwenye shambulio la risasi shuleni huko Texas

    Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya. Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao: Hii ndio list: Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade. Eva Mireles. Nevaeh Bravo. She was in 4th grade Irma Garcia Amerie...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Israel: Watano wameuawa katika shambulio la risasi katika mji Bnei Brak

    Watu watano wameuawa Jumanne katika shambulio la risasi katika mji wa Israel wa Bnei Brak, kitongoji cha mji wa Tel Aviv. Ni shambulizi baya la tatu katika siku za karibuni. Siku mbili zilizopita, maafisa wawili wa polisi waliuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Hadera. Wiki moja kabla, watu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Nchini Ukraine zasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi 70

    Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv. Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000. Aidha...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Shambulio la 9/11 (September ,11 attack)

    Shambulio la 9/11, mwaka 2001, maarufu kama September ,11 attacks. Hili ndio shambulio la kigaidi liliouwa watu wengi kwa mara moja katika historia ya dunia ,watu 2,977 walikufa na zaidi ya 25,000 walijeruhiwa ikiwemo majereha madogo na ya muda mrefu kama ulemavu. Shambulizi lilitokea ndani...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mossad yatajwa kutibua shambulio dhidi ya Waisraeli katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal

    Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel 12 cha Israel kimeripoti. Kituo hicho kimenukuu taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa watu hao...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yapata shambulio linalodaiwa kuwa la kigaidi

    Mlipuko umetokea katika mji Mkuu wa Uganda, Kampala na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine watano kujeruhiwa Rais Museveni amesema watu watatu waliacha ‘Mizigo’ kwenye eneo la tukio ambayo baadae ililipuka na kusababisha maafa. Ameahidi kuwafuatilia na kuwakamata wanaohusika Rais...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uingereza yaitahadharisha Uganda juu ya shambulio la kigaidi

    Uingereza imesema magaidi wanaweza kushambulia Uganda ambapo wametahadharisha raia wao kuepuka maeneo ya halaiki ikiwemo mikusanyiko ya kidini na michezo Japo Uingereza haijataja kundi litakalohusika na shambulio hilo, lakini mamalaka za Uganda wameanza kuwalaumu waasi wa ADF kuwa ni wahusika...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aonya uwezekano wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege Kabul

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameonya kuwa upo uwezekano mkubwa wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege wa Kabul akisema Makamanda wamemtaarifu linaweza kutokea mapema Serikali ya Marekani imewataka Raia wake kuondoka eneo karibu na Uwanja wa Ndege. Zaidi ya watu 110,000 wakiwemo Raia wa...
  16. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  17. Jasusi Uchwara

    JamiiForums Tanzania Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely. Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo kinacholenga kutisha watu kwa malengo ya kisiasa, kijamii, na kiusalama, hii ndio maana halisi...
  18. The Genius

    JamiiForums Tanzania PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

    Anaandika Christopher Cyrilo. ___ PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza. Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

    Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
Back
Top Bottom