shambulio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimepata Shambulio la Kigaidi la Kingono

    Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu. Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera. Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida...
  2. Jackal

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Mossad Tehran lawakimbiza Wataalamu wa Drone wa Urusi kujificha kwenye hotel

    Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136 ============== Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
  3. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

    Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na wizi wa mali mbalimbali wakiwemo mamia ya kondoo ulifanyika. Tundu Lissu, mnamo Septemba 7, 2017...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

    Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni; "Wale...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shambulio la kujitoa Mhanga laua watu 59 wakiwemo Polisi waliokuwa Msikitini nchini Pakistan

    Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri Mkuu, #ShehbazSharif shambulio hilo liliwalenga Polisi waliokuwa Ibadani katika #Msikiti ulioko ndani ya eneo la Makao Makuu ya Polisi na lenye ulinzi mkali Msemaji wa Hospitali iliyopokea waathirika wa Shambulio amesema walipokea maiti 59 huku wengine 157 wakiwa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Shambulio la Sinagogi, Watu saba wauawa

    Tukio hilo limeacha watu wengine watatu wakijeruhiwa katika Mji wa Neve Yaakov ambapo Polisi wameelezea kuwa hilo ni shambulio la kigaidi na ni baya kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Vyombo vya habari vya Jerusalem vimemtaja mhusika aliyefanya shambulizi hilo kwa risasi kuwa ni raia wa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

    Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika. Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia. Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

    Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma. Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

    Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu? J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Albania: Taasisi za serikali zapigwa na shambulio la mtandao, Iran yatajwa

    Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani imekiri kupata shambulio hilo lililolenga mifumo ya Utumishi wa Umma na Serikali nchini humo ikiwemo mifumo ya kompyuta ya Polisi. Waziri Mkuu Edi Rama ameishutumu Iran kwa kuelekeza mashambulizi hayo dhidi ya taasisi kadhaa yaliyotajwa kufanywa ili kulemaza...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Maafisa wawili wa Urusi wafa kwa shambulio la bomu ubalozini

    Vigumu sana kuelewa haya maugomvi, Urusi amekua akisifiwa na wavaa kobaz tangu alipovamia Ukraine, ila leo naona wanajitoa mhanga kwa kujilipua kwenye ubalozi wake. ISIL claims responsibility The ISIL (ISIS) group claimed responsibility for the attack late on Monday. An ISIL fighter “blew up...
  12. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Shambulio la bomu msikitini kabul-afghanistan.

    Mpaka sasa watu zaidi ya watu 18 wamekufa baada ya kuuliwa na bomu msikitini katika swala ya leo ijumaa katika mji mkuu wa Afghanistan kabul. Mosque blast in Afghanistan kills prominent scholar, civilians At least 18 people killed, including pro-Taliban imam, in suicide attack on the Guzargah...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Iran yakana huhusika kwenye shambulio la Salman Rushdie. Yasema Rushdie na wafuasi wake ndiyo walaani na kukemea tukio hili

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu Salman Rushdie ashambuliwe kwa kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kulazwa chumba cha wagonjwa mahututi huko Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Nasser Kanaani amefutilia mbali madai yanayoendelea kushika kasi kuwa serikali ya nchi...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Shambulio la risasi kwenye basi lajeruhi watu 8

    Watu wanane wamejeruhiwa vibaya baada ya mtu mmoja mwenye silaha kuvamia basi moja mjini Jerusalem na kuanza kufyatua ovyo risasi. Miongoni mwa watu walio athirika na shambulio hilo ni mwanamke mjamzito ambaye amelazimishwa kujifungua mapema chini ya uangalizi wa madaktari baada ya kuwa na hali...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

    Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa kiongozi wa Al Qaeda baada aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden kuuwawa na majeshi ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wanne wauawa katika shambulio la risasi

    Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waliofariki kwenye shambulio la risasi shuleni huko Texas

    Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya. Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao: Hii ndio list: Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade. Eva Mireles. Nevaeh Bravo. She was in 4th grade Irma Garcia Amerie...
Back
Top Bottom