shabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kipanya ni shabiki wa Yanga lakini ametumika kumhujumu Rais wa Yanga

    Salam wana jamvi. Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari lake. Wadau waliowengi walisikitishwa na maongezi ya maafisa wale na kukemea kwa nguvu kitendo kile...
  2. JamiiForums Tanzania Sir Jim Ratcliffe ni mwendawazimu anadai ni shabiki wa timu. Angeiacha club hadi Leo haina direction kuelekea dirishani?

    Nikumuangalia napata hasira sana. Namuona kama Mzee mia Tisa itapendeza r.i.p
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simpendi Guardiola na mimi siyo shabiki wa man city ila nawaombea kwa Mungu washinde

    Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid. Ilivunja sana mioyo ya mashabiki wa Man City walipokuwa na uhakika kabisa wanaenda fainali kukutana...
  4. JamiiForums Tanzania CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki wa Yanga afariki dunia kwa mshituko baada ya “kipigo” kutoka kwa Simba

    Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa umebakiza dakika 10 kumalizika akawa analalamika mbona hawasawazishi ilihali muda unayoyoma. Basi...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..

    Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine. Siwezi nikaumia kisa mpira. Siwezi nikagombana kisa mpira. Daima sitauwamini mchezo...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

    Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu. Haji manara inabidi utuombee samahani...
  8. JamiiForums Tanzania Quick Reminder: Ewe Shabiki wa Simba na Yanga punguza matarajio

    Yakiwa yamebaki Masaa yasiyozidi therathini kwa Timu zetu za Kariakoo kurusha karata zao katika mashindano ya kimataifa, ghafla nazinduka usingizini baada ya kuyakumbuka maneno ya mzee mmoja mwenye busara aliyesema; "SON, Football can kill you, A real death. Don't settle for less but lower...
  9. JamiiForums Tanzania Mimi kama Shabiki wa Arsenal natamani Man City ashinde Kesi yake

    Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe. Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu, Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge.. Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje???? Man U...
  10. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

    Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans. Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC. Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba? Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  16. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Mandonga

    Sisi mashabiki wa Mandonga mtu kazi bendera ya kuzimu , mvamia mitumbwi ya vibwengo Leo tunaamka saa ngapi 😂😂😂? Ila kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho toka kwa bondia wetu ni kupigwa .
  17. JamiiForums Tanzania Shabiki Mgeni

    Hello wanajamii, nimejiunga na forum, nikae wapi?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kama shabiki wa Wasafi, WCB, ikiwapendeza mumsaini HIDDEN

    Jamaa anajitahidi kufikiria wakati wa kutunga, ana Melody nzuri. Atawafaa sana
  19. JamiiForums Tanzania Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

    Benard Morrison ni kama Ex aliyeondoka kwa dharau sana na kila tulipokutana nae alitudhihaki. Je, unakubali kumpokea Morrison katika klabu yetu tena? Morrison anaenda kucheza nafasi ya nani?
  20. JamiiForums Tanzania Morrison agombana na shabiki wa Yanga, adaiwa kutumia kitu chenye ncha kali

    Dah,huyu jamaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…