Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza.
Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira.......
Ila tu...
Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo
Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika...
Tupo uwanjani leo shabiki kindakindaki wa Al hilal toka nizaliwe mm al hilal damu🔥🔥🔥
Forza Al HILAL
Hat trick habib thalantha bin thiful
نيتيوويوؤويتيتيتيتmwamnyeto🐸🐸🐸
Tanzania tunaiogopa SIMBA tu wengine wote GENGE la wahuni
UBUNTU BOTHO
PRIDE TABORA
Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya.
Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi.
Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya.
Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi.
Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa acha boli litembee, mzee wa pira biriani. Huyu jamaa akiachiwaga timu mfano pale alipofukuzwa Tinyo...
Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku.
Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi.
Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye...
Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui.
Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic uliosahaulika kwa miaka mingi siyo sijui Suu wengine wakifunga wanatembea tu, kwamba washajiona wakuuubwa...
Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.
Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:
"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii.
Kwa kulitambua hilo, maboss wameandaa sanda kwa kila shabiki na mwana chama ili kupunguza gharama za...
Nawasalimu nyote.
Hamjambo hapooooooo!!
Hahahaaaaa.
Ok twende moja kwa moja kwenye hoja,ni hivi MISIMU mbalimbali ya ligi hapa duniani hiyooo inaisha ila mingine bado inaishia.
Nina swali dogo tu halihitaji kwenda shule ili ujibu linahitaji akili za kawaida tu.nauliza hivi MISIMU MBALIMBALI...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo lilitokea Aprili 12, katika mechi kati ya Esteghlal FC na Aluminium Arak wakati shabiki mdogo wa kike...
“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.
Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga.
Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili hata siku moja. Nashangaa kuona wapuuzi wakianzisha harakati za kuweka uzalendo kwenye kuzishabikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.