The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h
Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn
Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha:
Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini,
Kupungua kwa imani ya...
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka...
Kwa:
Mkurugenzi Mkuu
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
S.L.P 63154
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Ombi la Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha taarifa na lalamiko kuhusu mwenendo unaoendelea...
Kwa: Mkurugenzi Mkuu
Shirika la Reli Tanzania (TRC)
S.L.P 76959
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa ajali ya treni ya Mjini kwenda Pugu, iliyotokea Stesheni ya KAMATA kwenye makutano ya reli na Barabara ya Kawawa, jana Mei 13, 2025 imejeruhi Watu 10
TRC imesema ajali hiyo iliyohusisha mabehewa 12 yaliyobeba abiria takribani 1,200 na kuwa...
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.
Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan.
Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni.
Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma?
Hizi ni siasa gani?
Ukitaka ku-book tiketi ya Dar- Moro au Dom mtandaoni tiketi hamna ila ukienda stesheni unapata tiketi kwa kuongeza 5,000/- kwa mkatishaji tiketi. Nimepanda treni ya Dar- Moro mabehewa yapo nusu ila kwenye ku-book nafasi zimeshikiliwa/full hadi tarehe 18/07. Hakika Tutafika tumechoka.
Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa.
I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila kituo cha SGR mitandao isiwe na kwikwi. Nawakilisha
Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta
Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026
Katika hali ya kimya isiyoambatana na maelezo kwa wananchi, Shirika la...
Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?
Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo kumesababishwa na hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme.
Hakika kazi imeendelea.
Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia.
Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
Nchi ya Zambia ni moja ya mtumiaji mkubwa sana wa bandari ya Tz mwaka huu pekee amepitisha zaid ya ton 2M kweny bandar yetu ya Dar na hii ni pamoja na changamoto zote za bandari na umbali kutoka Dar hadi tunduma kwanjia ya barabara
Ningependa kuona tunampango wa kupeleka sgr uko sababu mizigo...
Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi.
Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye...
Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote.
Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.