sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  2. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya SGR (Kigoma - Burundi) kwa Tsh. Trilioni 5.6

    Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) na nchi ya Burundi leo Januari 29, 2025 zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR yenye urefu wa kilomita 282 kutoka Uvinza mkoani Kigoma hadi Musongati nchini Burundi. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa kwa upande wa...
  3. mendex

    JamiiForums Tanzania Kwanini ikitokea delay au hitilafu kwenye SGR huwa haitolewi taarifa kwenye vituo na treni husika?

    Habari wana jamii forum. Kwa nini pindi inapotokea hitilafu katika treni ya SGR huwa ni vigumu kwa TRC kutoa taarifa kama wafanyavyo mashirika ya ndege. Unakuta treni ilitakiwa kufika kituo fulani muda fulani lakini inachelewa zaidi ya nusu saa au saa nzima lakini taarifa haitolewi vituoni...
  4. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania SGR: Je, ukibadilisha tarehe ya safari nauli inaongezeka?

    Wakuu hili ni swali kwa wahusika au kama kuna mdau hapa mwenye ufahamu asaidie ufafanuzi. Nina jamaa yangu hapa ana tiketi ya safari ila alitaka kubadilisha tarehe ya safari ili asafiri siku za mbele. Sasa akaingia kwenye mfumo unamletea bill mpya ambayo ni kubwa kuliko hata ya ile ya tiketi...
  5. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
  6. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu SGR ni kweli au ni uzushi?

    Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi. Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme. TANESCO
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu, naomba msaada: Vituo vya treni ya SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma ni vipi?

    Naomba mwenye ufahamu wa vituo vya Reli ya SGR kati ya Dar na Dodoma anisaidie hapa ili nivifahamu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini TRC wanasisitiza NIDA kukata tiketi za SGR?

    Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Umeme wa JNHEPP hautoshi kuendesha SGR? Mbona kama ni maajabu?

    Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa. Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu. SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao 🤣. Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza ...
  10. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania TRC na TANESCO kuweni makini na SGR, iko siku itagoma kusimama

    Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine utasikia umeme umekatika, kuweni makini ipo siku hii train itakataa kusimama, sijui kitakachotokea hapo...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi baada ya Treni ya SGR kukwama njiani Januari 8, 2025

    Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku. Tunajua kuwa safari...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

    Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa. Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye...
  13. B

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  14. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Madereva wa SGR wana leseni ya aina moja?

    Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
  15. DustBin

    JamiiForums Tanzania MAONI: Serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi SGR

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najikita moja kwa moja kwenye mada husika. Naiomba serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi kwenye tren yetu ya mwendokasi SGR. Nalisema hili kwa sababu nimeshuhudia zaidi ya mara moja mfumo unaonesha tiketi zimeisha (nafasi zimejaa)...
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maoni: Tatizo la Kujifanya Usalama wa Taifa na Kuongeza Lawlessness

    Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo kwa kujenga Bandari Kavu (Dry Ports) katika mikoa ya Morogoro na Dodoma. Faida za Bandari Kavu...
  17. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
  18. Wimbo

    JamiiForums Tanzania SGR ianze biashara ya mizigo

    Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili maloli yote yaendayo Rwanda na Burundi yaanze kuchukulia Dodoma badara ya Dar. Hii itasaidia...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
  20. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
Back
Top Bottom