The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
CCM wanambinu zao za dakika zajioni katika kuzitafuta kura. Lakini kama uchaguzi usikuwepo mwaka huu basi bila shaka wananchi wakeendela kuteseka katika kudai fidia zao
====================
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imelipa zaidi ya shilingi bilioni 1.6 kwa wananchi 213 wa...
Naamka asubuhi na mapema nikiwa na njaa. Nachemsha chai nakumbuka kitafunwa sina. Natoka barabarani namwona mama muuza mihogo.
"Niuzie ya mia tano!"
"Subiri kidogo, ndiyo kwanza nimeiweka motoni."
Naamua kuketi juu ya jiwe kuisubiria.
Moshi mseto wa vifuu na kuni za kuokoteza, unasambaa...
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
Mtu wangu kutoka eneo la tukio kapiga simu kunishukuru, anasema muda mchache baada ya mimi kupandisha uzi huu, zoezi lilikokwama kwa siku nzima lilianza kufanyika huku treni inasafiri.
Chanzo cha stori: KERO - TRC rekebisheni behewa namba 14 kwenye treni ya SGR. Hakuna hewa, mtaua watu...
Behewa namba 14 kwenye treni ya Mwendokasi halina hewa.
Kwa mujibu wa mhudumu, tangu asubuhi, leo Oktoba 3, 2025 behewa hili limepata hitilafu na halijatengenezwa hadi sasa na hawajui litatengenezwa lini.
Hii imeleta adha kubwa kwa wasafiri wanaotumia jioni hii maana behewa limejaa, hakuna...
TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike.
Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa.
Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi
Ni muhimu maeneo ya pembezoni...
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi?
Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
I will be short
Iko Hivi ume login , then ukiselect seat . System aikupeleki next .
This means kuna watu wamegeuza business wanauza ticket ukiwapigia . In short Uwezi lipia seat . Maana ufiki Kwenye control number .
Mama Anaupiga mwingi sana . Useless county . Barabara Mbovu . System...
Je, unafahamu uchelewaji wako kutasababisha historia mbaya ya CRB? Epuka historia mbaya ya mikopo lipa leo Tsh 800000. Kulipa piga *150*01#>7>4>3 au Mixx by Yas app
Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na mbavu za mbwa (Rasta) kiasi kwamba magari yanakimbia taratibu sana hasa nyakati za asubuhi na jioni...
Kwa nini Dodoma iwe kipaumbele na mikoa ya Mwanza na jirani kusahaulika?
Kuanzia Dodoma mpaka Mwanza kupitia Taboara mradi unasuasua.
Maeneo ya Itigi kama vile hakuna mkandarasi
Kuanzia Isaka mpaka Mwanza mradi umesinyaa kabisa.
Oktoba ipo karibu watu wa Tabora, Mwanza, Shinyanga, mpanda na...
Mama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga.
Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000...
Hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa, ila wanachokifanya SUMA JKT ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja mabeg yenye faragha za kinamama.
Wakati mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha uwrap, kinachofanya SUMA...
https://www.youtube.com/watch?v=wwLxEK9CEnE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025.
https://www.youtube.com/live/hO2T3lOUjmI
Update
Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan
Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.