sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya treni ya SGR (Ordinary) vimeanza kuharibika, hakuna hatua zinazochukuliwa

    Mfano, ingia behewa namba 7 kwenye treni ya ordinary uone jinsi vyoo vilivyoharibika na ni zaidi ya mwezi sasa hakuna hatua zozote. Huu ni mwanzo wa kuiua treni yetu.
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa Mahakama Elisante Ole Gabriel: Tutaweka mahakama ndani ya mabehewa ya SGR

    Kind of nonsense 😔 😑 TANZANIA imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya SGR na N-Card iboreshwe ili kuwezesha mtu binafsi kuuza tiketi yake aliyokwisha nunua

    Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya mfumo. Inahitaji tu App ya N-Card iwe na kipengele cha "Resell Ticket". Mtu anaingia, anauza...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ndani ya SGR Dar-Dodoma, kuboresha taarifa zake za Mpiga Kura

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya...
  5. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Bunge laambiwa maana ya SGR kutoka Uvinza - Burundi

    Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameliarifu Bunge namna serikali inavyonufaika na fursa zake za kijiografia kwa kubuni na kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika zaidi na fursa hizo. Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, ameliarifu hayo Bunge wakati...
  6. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Fahamu tofauti kati ya mizigo(luggage) na kifurushi (parcel) ukisafiri na SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi wa aina gani ya mizigo abiria anayoruhusiwa kusafiri nayo katika mabehewa ya abiria ya SGR. Akitolea ufafanuzi huo Aprili 12, 2025 katika stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam, meneja wa Treni za abiria wa TRC Bw. Ringo Mboma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Co-Founder wa mfumo wa Kisasa wa booking kwa usafiri wa SGR (Train Booking App)

    Habari wana JF, Mimi ni software engineer mwenye uzoefu, na nina ham kubwa ya kuingia kwenye ujasiriamali wa kiteknolojia – hususan kutengeneza mifumo inayotatua changamoto kwenye jamii yetu. Miezi michache iliyopita nilisafiri kwa mara ya kwanza kwa kutumia SGR, na kwa kweli experience...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR & Comedy awards!

    Hilo Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR yetu na Tuzo za Comedy. Tumestuka. Msaada tutapata Dubai na Morocco
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa awasihi waTanzania kulinda miundombinu ya SGR

    Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR). Prof. Mbarawa, ametoa wito huo katika stesheni ya Magufuli Dar es Salaaam, muda mchache baada ya kumsindikiza Rais...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

    Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno...
  11. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Yale mabehewa ya SGR ya ngazi mbili yapo wapi? au tulishapigwa na kula hasara?

    Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Kukamilika kwa SGR ni matokeo ya Utawala bora wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), ni matokeo ya sera madhubuti na mipango thabiti ya CCM inayolenga kuwaletea maendeleo...
  13. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Abiria zaidi ya milioni 2.3 wasafiri na SGR; Makusanyo yakifikia Tsh. Bilioni 66.8

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC ndugu Masanja Kungu Kadogosa amesema kuwa TRC imeweza kusafirisha zaidi ya abiria milioni 2.3 tangu kuanzishwa kwa uendeshaji wa treni ya SGR June 14, 2024 hadi sasa Aprili, 2025. Akizungumza katika kipindi cha " One on one" cha Wasafi TV Ndugu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Uchukuzi, Kihenzile: Mzigo chini ya kilo 20 hutakiwi kulipia nauli kwenye SGR

    Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema sheria na kanuni ya Leseni ya Usafiri wa Umma inamruhusu abiria kupakia mzigo ambao upo chini ya kilo 20 bila kulipia kwenye basi la abiria. Akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu, Anatropia Theonest aliyetaka kufahamu ni kwa kiwango gani...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nilicho-experience katika safari za treni za SGR hadi sasa

    Nimesafiri na aina zote za train tokea ile ya enzi za mkoloni aka gari moshi hadi hii SGR ile express na Ordinary. Wastani wa safar zangu kwa sasa ni kama mara 24 nikipanda madaraja ya uchumi (economy) na biashara (Business). Royal class ipo njian pia. Naipongeza serikali kwa huu mradi, hakika...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tusiwe na safari za ziada za SGR kwa siku zenye abiria wengi?

    Wanajukwaa, Sote tunafahamu kwa nchi yetu na maeneo mengi haoa ulimwenguni, ikifikia kipindi cha sikukuu au likizo za wanafunzi abiria wanakuwa wengi kupita kiasi. Lengo la uwepo wa usafiri wa uhakika umma ni kuhakikisha watanzania wanawahi ratiba zao mbalimbali huko waendako bila kulazimika...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri bei ya VIP SGR ipunguzwe

    Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate ameiomba Serikali ipunguze nauli ya daraja la VIP katika treni ya kisasa (SGR) kutoka TSh 150,000 hadi TSh 70,000 ili kuongeza mapato. Amesema bei ya juu inachangia idadi ndogo ya abiria, akitoa mfano wa behewa linalobeba abiria 40 wakati mwingine husafiri...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe SGR toka TRC

    SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi. TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida. Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 kuhusu TRC na mradi wa SGR uliogharimu trilioni 29.5

    Ili kuwa mwandishi mzuri wa habari, ni lazima uwepo eneo la tukio. (To be a good journalist, you have to be there.) Ryszard Kapuściński Ni ngumu sana kulizungumzia jambo kiundani kama aukuwepo eneo la tukio. Mazingira yanaweza kuzungumza na kukupa picha kubwa au ndogo ya jambo umelisikia au...
Back
Top Bottom