sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

    Hii picha ya front page leo 11/5/2020, Daily News imenifikirisha sana.
  2. Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

    Hizi nchi zetu masikini ikitokea changamoto kidogo ni shida kubwa sana. Tanzania inategemea mapato ya utalii kwa zaidi ya 25%. Utalii mwaka huu ni kama umekufa kabisa kama sio uko chini ya 2%. Hasa kipindi hiki cha March hadi June hua kuna watalii wengi sana nchi hii, ila sababu ya corona kila...
  3. Q

    Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

    Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata. Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa...
  4. F

    2024 Watanzania tutaandamana kulazimisha Dkt. Magufuli aongezewe muda zaidi. Umeme wa Stieglers utakapowaka, hospitali, SGR zitaleta shangwe sana

    Habari wadau.. Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo.. Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki...
  5. Dkt. Abbas ataja sababu za mradi wa SGR kuchekewa

    Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Hassan Abbas. Dodoma. Serikali imesema mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) umechelewa kukamilika kwa sababu ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, na si ukosefu wa fedha kama baadhi wanavyodai. Februari 13, Serikali...
  6. Dr. Abbas: Tenda ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Mwanza-Isaka itatangazwa wakati wowote

    Shirika la Habari la Kimataifa la CNBC Africa tarehe 29 Februari, 2020 limerusha kwa zaidi ya nchi 100 duniani makala inayoeleza mafanikio ya Tanzania katika sekta mbalimbali Ripoti ya RMB ya mwaka 2020 imeitaja Tanzania imekuwa ya 21 duniani, Afrika imekuwa ya 4 na Afrika Mashariki imekuwa ya...
  7. Yetkin Gen Mehmen, Meneja wa Yapi Merkezi, kampuni inayojenga SGR ahukumiwa Kisutu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Meneja Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (SGR), Yetkin Gen Mehmen kulipa faini ya Sh100 milioni au kwenda jela miaka mitatu huku ikitaifisha dola za Marekani 84, 850 alizoshindwa kuzitolea maelezo baada ya kukutwa nazo...
  8. Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

    Picha hizi zinaonesha Maendeleo ya Ujenzi wa Stesheni za Dar es Salaam, Pugu na Soga. Katika kipande cha kwanza cha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR ambao utakuwa na jumla ya Stesheni Sita ikiwemo Stesheni kuu mbili ambazo ni Dar es Salaam na Morogoro huku Stesheni ndogo (za kati) zikiwa...
  9. Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65% Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80% Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90% Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  10. S

    Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

    Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na kufika Kaliua. Ilikua iende na Mwanza nadhani, kwa mkopo wa $7.6 Bilioni kupitia benki ya China ya EXIM...
  11. S

    Zitto Kabwe vs Prof. Kitila Mkumbo juu ya ujenzi wa SGR

    Zitto Kabwe: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015 Zitto...
  12. Tahadhari nauli ya SGR itakuwa juu

    Habari Comrade, Nimekuwa nikihisi nauli ya SGR itakuwa kubwa hivyo natoa tahadhari kwa Comrade wenzangu msije pata mshituko siku zitakapotangazwa. Waweza kuwa unajiuliza kwa nini mtu huyu anadhani nauli itakuwa kubwa?, Sababu ni hizi UCHUMI kutokana na shilingi kupoteza thamani itakuwa na...
  13. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
  14. Mradi wa reli ya kisasa (SGR), mwamba wa changamoto za usafirishaji nchini

    MAY 27, 2019 HABARI, Na Paschal Dotto-MAELEZO Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu...
  15. Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
  16. S

    Tukikamilisha miradi ya Stiegler's Gorge na SGR pekee. Ona habari hii na fanya hesabu kuhusu sisi kuendelea kukopesheka na utathimini tunaelekea wapi

    Jumatano iliyopita, Kampuni ya Arab Contractors ya Misri na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), walisaini mkataba wa ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kwenye Mto Rufiji, maarufu kama Stiegler’s Gorge. Utilianaji huo wa saini ulifanyika Ikulu, Dar es Salaam. Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wa...
  17. Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…