sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Dar es Salaam hadi Morogoro, Februari 26, 2024. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini Mikataba miwili ya Tsh. Bilioni 398.7 na AfDB kwaajili ya ujenzi wa SGR

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (@afdb_group ) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya takribani dola za Marekani milioni 158.1 (sawa na shilingi za Tanzania, bilioni 398.7) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Kimataifa wa Reli ya Kisasa (SGR) utakaoziunganisha nchi ya...
  3. JamiiForums Tanzania TRC: Mgawo wa umeme hautaathiri treni za SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mgao wa umeme unaoondelea nchini hautaathiri utendaji kazi wa treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) kwani treni hiyo itakuwa na njia yake maalumu ambayo haifungamani na njia yoyote kwa ajili ya kusafirishia umeme. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa TRC...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Kuna haja ya kuongeza magati bandari. Watanzania kwenda Misri kujifunza jinsi ya uendeshaji wa Treni ya SGR

    Tanzania imepata ugeni kutoka Misri ukiongozwa na Waziri wa Uchukuzi wa Misri, Luteni Jenerali Kamel Alwazeer kwa lengo la kujifunza fursa za uwekezaji zilizopo Nchini Akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni hao, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema “Sekta ya Uchukuzi, Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania SGR na Zimwi la Uhairishwaji kila Muda

    Zifuatazo ni Failed Mission ya Majaribio au Kuanza Kwa Kutumika SGR.. Kipi Kifanyike.. Februari 2019 - Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alisema safari ya kwanza ya SGR itaanza Novemba, 2019. Januari 2021 - Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...
  6. JamiiForums Tanzania Sweden kusaidia gharama za ujenzi wa SGR Lot 3 (Makutupora - Tabora - Isaka)

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii? Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Huu hapa muonekano wa Kichwa Mchongoko cha Treni kitakachotumika katika SGR

    https://youtu.be/h0_F13LspEI?si=Fb9vd3ROVGTv_rC2 Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  10. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa SGR, Dar, Tabora, Dodoma na Singida wagoma wakishinikiza kulipwa mshahara

    Baadhi ya Wafanyakazi wanaoshiriki katika Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR wameshiriki katika mgomo wa kutofanya kazi leo Jumamosi Januari 6, 2024 kutokana na kinachodaiwa kutolipwa mishahara yao ya Desemba 2023. Licha ya kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600 hivi karibuni Mkandarasi Mkuu wa SGR...
  11. JamiiForums Tanzania Vichwa Vipya 3 vya Treni ya Umeme SGR Vyawasili Nchini

    TRC YAPOKEA VICHWA 3 VYA TRENI YA UMEME SGR KUTOKA KOREA KUSINI Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya ‘Sung Shin Rolling Stock Technology’ (SSRST) kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania SGR kuwashwa Januari 24, tiketi zagombaniwa kama njugu

    Dugudugu kuwashwa trh 24.01 --- After multiple delays, services on the Dar es Salaam-Morogoro section of the Standard Gauge Railway (SGR) are currently expected to begin at the end of January 2024. This was stated recently by Transport minister Prof Makame Mbarawa on his visit to see the SGR...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  14. N

    JamiiForums Tanzania African Development Bank yaidhinisha mkopo wa zaidi ya trilioni 1.4 kujenga reli itakayounganisha Burundi na Tanzania

    Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR). Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa aridhishwa na majaribio ya kichwa cha treni ya SGR

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  16. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TRC, Kadogosa asema “Hatuna makubaliano yoyote ya kubadilisha mkandarasi wa SGR”

    Maswali kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kuhusu Mradi wa Reli ya SGR. Swali: Kuna changamoto kadhaa na malalamiko yanayoripotiwa na Wafanyakazi wa SGR hasa Lot 3 na 4, nini kinachoendelea? JIBU: Changamoto kwenye miradi mikubwa ni jambo la kawaida...
  17. JamiiForums Tanzania SGR kubinafsishwa?

    Serikali ya Awamu ya sita Mungu anawaona!
  18. JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

    Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao. Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi SGR Itigi tumeandama, watulipe stahiki zetu kabla hawajaondoka

    Hivi ndivyo ilivyo katika Camp ya Itigi, sisi Wafanyakazi wa Mradi wa Reli ya SGR, tumeandamana hadi kwa HR wa Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi tukitaka kujua majaaliwa ya stahiki zetu baada ya kufukuzwa kazi. Mkandarasi Mkuu ametangaza punguzo la Wafanyakazi, sasa kila tukiuliza kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Ahadi za Viongozi kuhusu kuanza kwa Huduma za Usafiri wa Treni ya SGR zimedumu kwa miaka 5 na bado haijaanza kazi

    Kwa takriban miaka 5 kumekuwa na ahadi kutoka kwa Mamlaka mbalimbali juu ya kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni yenye Kasi zaidi (SGR) lakini utekelezaji wake umekuwa na mabadiliko ya muda mara kwa mara yanayotajwa kusababishwa na kutokamilika kwa baadhi ya Miundombinu. Hapa kuna mtiririko wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…