sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile aongoza safari ya kwanza ya Treni ya Umeme (SGR) Dar - Morogoro Julai 14, 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mafanikio ya SGR na Bwawa la Umeme ni aibu kwa Lissu na CHADEMA yote

    Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

    Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema bei za treni za mchongoko zitakuwa Tsh. 100,000 hadi...
  5. themagnificient

    JamiiForums Tanzania Hili shirika la Reli linaongozwa na watu wenye vituko sana

    Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu mke wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma Kituko Leo mkurugenzi kageuza Gia angani kuwa bado wanafanya majaribio hivyo safari itaishia...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC asema Treni ya SGR, NO abiria kubeba vyakula, NO mafurushi makubwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au chakula kama ilivyo kwenye treni ya MGR, kwamba lengo la kufanya hivyo ni kutunza mazingira ya...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Mradi wa BRT Awamu ya Tatu Dar, hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora

    Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam. Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora. Hata hivyo, kutokana na ufinyu wa...
  8. ankol

    JamiiForums Tanzania Terminal ya SGR kuwa katikati ya jiji

    Habarini wana jamvi. Wakati ujenzi wa reli ukikaribia kuzinduliwa kwa route ya Dar es Salaam - Dodoma Hivi ulishawahi kujiuliza wasomi wetu waliwaza nini kutengeneza daraja kubwa kuanzia vinginguti mpaka posta? Unaweza piga hesabu pesa kiasi gani imetumika ili treni ifike tu posta...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba Benki ya Exim China kusaidia fedha za ujenzi wa SGR

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuwa serikali ya Tanzania imeishiwa pesa na kuongeza wasiwasi wa kukamilika kwa SGR huku kukiwa na ahadi za uongo

    Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama. Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama

    Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya: Wananchi wa Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa SGR wafike ofisini

    Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kenya na Uganda wakopa Exim kujenga SGR mpaka Malaba mpakani

    Nimepitia taarifa inayosema Kenya na Uganda zimeingia makubaliano ya kujenga SGR kutoka Kenya hadi Uganda hatimaye Rwanda na DRC na Sudan Kusini. Reli hii ikikamilika italeta ushindani mkubwa na SGR ya Tanzania ambayo nayo ina malengo hayohayo ya kuhudumia Uganda,Rwanda,Burundi na DRC. je hali...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    ====== UPDATES ======= Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga aliyetaka kufahamu, Serikali ina mpango gani kutatua changamoto ya ajira kwenye Miradi ya Kimkakati...
Back
Top Bottom