sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu kwa wateja stesheni ya SGR Dar es Salaam

    Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu. Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua na customer care nzuri, just imagine mtu unashida ya kuextend au kucancel safari mhudumu anakujibu...
  2. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Tren ya SGR yazidiwa na abiria kutoka Dar to Dodoma

    Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa. Mfano Jana jumamosi...
  3. Nkamu

    JamiiForums Tanzania TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  4. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi?

    Naomba kuuliza je SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi kwa njia ya mtandao au tovuti? Msaada tafadhali
  5. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Vioja vya abiria wa treni ya SGR

    Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR. Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na usafiri huo. sambamba na hilo vipo vioja ambavyo kwa kweli vipekuwa vikiwakumba baadhi ya abiria...
  6. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Ni mabingwa wa kuzindua vitu

    Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani. Imenikumbisha Wabongo tunavyopenda kuzindua vitu. Angalia vitu vilivyozinduliwa kwa mbwembwe za mbio za mwenge...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Iletwe pia SGR treni ya kubeba magari

    Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya. Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kadi maalum zitumike kupanda/kulipia SGR

    1. Haya mambo ya Ticket za karatasi ndio maana watu wanapanda Dar-Dodoma kwa 1,000 Tsh. 2. Weka mfumo wa kulipa kwa Kadi maalum ya SGR mtu ana-scan gate linafunguka na akifika hatoki mpaka a-scan Kadi Yake. Nimeona nchi nyingi wakifanya hivyo. Na inspector awepo. Ukibambwa faini x100 ya nauli...
  10. Dali Mpofu

    JamiiForums Tanzania Hivi ajira za Wahudumu kwenye Treni zilitangazwa lini?

    Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu? Je wamepatikanaje? Soma Pia: Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU Naomba Msitumike Vibaya kwa mambo ya Kizembe na Kijinga ya TRC kwenye Tickets za SGR

    Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima, pia hajaingiza malipo ya NSSF

    Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima. Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
  13. Askari wa miguu

    JamiiForums Tanzania Tiketi ya Sgr

    Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wizi wa udanganyifu wa tiketi katika SGR umenikumbusha walafi enzi za shule. Hakika "samaki mkunje angali mbichi"

    Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania SGR inapakia abiria wa Dar kushukia pugu na kuna malalamiko ya kukosa tiketi!

    Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na Daladala? TRC inaelewa kweli inachokifanya? Mimi nafikiri SGR kwa sasa ingewapa kipaumbele abiria...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Treni SGR imeziba njia za wa kazi Dodoma Makulu

    Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya kuingilia wala kutokea serikali ifike haraka kutatua changamoto hio kwa wakazi wa Makulu Dodoma mjini.
  17. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania SGR na uwekezaji mkubwa wa viwanda Tabora, Dodoma, Singida, Morogoro, Shinyanga

    Napongeza uwekezaji mkubwa uliofanyika ktk ujenzi wa miundombinu yenye thamani kubwa ktk nchi. Serikali imetumia zaidi ya Tirioni 8 ktk ujenzi wa SGR..Kilichofanyika ni uwekezaji wa kihistoria ulifanikishwa kwa mapato ya ndani na mikopo ya fedha yenye riba nafuu na isiyo na riba nafuu.. Tuna...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza kwa bei ya juu

    Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi. Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu kuu ikiwa ni muda ni kutokana na kutumia muda mfupi kufika maeneo husika. Lakini nimefika pale mara...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania KERO Kuuziwa bites ndani ya treni ya SGR ndio utaratibu mpya au wafanyakazi wameanza hujuma?

    wakuu wikiendi inaenda? Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho. Sasa kwanini tunalipishwa bites ambazo zinatakiwa kutolewa bure? Utaratibu umebadilika kuwa viburudisho ndani ya SGR...
Back
Top Bottom