sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia Mawaziri kupanda SGR kati ya Dar es Salaam - Dodoma?

    Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga

    Wakuu, Taarifa kwa umma, Shirika la reli tanzania (trc) linaomba radhi kwa abiria wa treni ya mchongoko (emu) walioanza safari yao dar es salaam kwenda dodoma saa 2:00 asubuhi na kusimama ghafla majira ya saa 2:20 kati ya pugu na soga. Aidha, tunaomba radhi pia kwa abiria wetu wa treni ya...
  4. V

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Treni ya mchongoko Dar-Dodoma imeharibika porini toka saa 2 asubuhi kati ya eneo la Pugu na Soga

    Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi. Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea. Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini. Chombo ni...
  5. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Michael Noel wa RFA acha kupotosha, SGR sio Stiglers Gorge

    Wakati akichambua magazeti leo asubuhi katika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotosha kwamba SGR ni STIGLERS GORGE. Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huu ndio muonekano wa behewa la Royal katika treni ya mchongoko ya SGR

    Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma. Na huu ndio muonekano wake ndani Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha na ubora. Hili hapa ni behewa la Royal kwa SGR ya Kenya, wenzetu wako mbali Wadau wengine wanadai...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa SGR umekuwa nafuu sana kwa wasafiri wa Dar,Mwanza, Arusha, Singida na Iringa

    Kwa sasa watu wengi sana wanaosafiri kutoka DAR - MZA wanapanda SGR kutoka DAR - DOM kwa masaa manne na wakishuka tu wanapanda gari za mwanza ambapo masaa 13 upo mza. MABUS YA DOM - MZA yanafursa hii kwa sasa pia abiria wanaoenda DAR IRINGA mtu anapanda zake SGR mpaka DOM then anakwea bus la...
  9. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya wana SGR Train kali kuliko Tanzania

    Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona anaingia kwenye SGR train, kuona rangi ya behewa nikajua ni zile SGR zetu lakini wahudumu kidogo rangi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania SGR kwanini sikurejeshewa Pesa yangu?

    Kuna siku nilikuwa natakiwa kusafiri kuelekea Dar es Salaam kutokea Morogoro. Wakati nakata tiketi ya SGR mtandaoni nikiwa Morogoro, badala ya kuandika Morogoro kama kituo cha kuondokea, nikaandika Dar es Salaam. Hivyo, tiketi ikawa inasomeka kutoka Dar kwenda Morogoro ingawa nilitakiwa kusafiri...
  12. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Sgr Dar to Moro

    Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
  13. W

    JamiiForums Tanzania KERO TRC boresheni miundombinu katika Vyoo vya Kituo cha SGR - Dar

    Moja kati ya vitu ambavyo nilikuwa najiuliza ni kama Watanzania tunaweza kutunza Miundombinu yetu ya Reli ya SGR, bila unafiki ukiitazama imekaa poa kwa asilimia kubwa. Lakini jioni ya leo Oktoba 18, 2024 wakati najiandaa kusafiri na usafiri huo nilipoingia kwenye Choo cha Kituo cha SGR Dar...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR angalieni upya gharama za parking za magari

    Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri wa kueleweka zaidi ya bajaji; sasa mtu anakwenda na usafiri wake asubuhi ili jioni akirudi apate...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa treni ya SGR sio usafiri wa uhakika

    Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja. Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria. Huu usafiri si...
  16. analysti

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

    Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu. Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA kusanyeni kodi toka kwa wafanyabiashara wa ndani ya treni ya SGR

    Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Sekta Binafsi Kuingia Kwenye Usafirishaji wa Reli (MGR & SGR)

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 01, 2024 amezindua usafirishaji wa bidhaa mbichi zikiwemo mbogamboga na matunda kwa treni, kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwepo, awamu mpya ya SGR ingekua Dodoma - Arusha na Moshi

    Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na Dom - Dar, ikijumuisha maeneo yote yaliyo kati ya Dom Dar nao wananufaika Kwa namna inavyoonekana...
Back
Top Bottom