The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=>
~ Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
~ TRC: Tumewakamata...
China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa.
Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii.
Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu, tukusanye hela halafu...
1.Wafanyabiashara wa mabasi
Mfano ndugu Ahmed Shabiby aliwahi nukuliwa kwenye mahojiano kwamba basi lake la kwanza alimiliki akiwa na miaka 19. Bila shaka mpaka sasa ana uzoefu mkubwa mno, na ni muda wa kutumia ujuzi huo ku-diversify (kutoweka mayai kapu moja) kumbuka walomtangulia kama Sumry...
TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.!
Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee.
Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi...
Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso.
Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20 bila kuambiwa chochote.
Immediate action zinatakiwa kuchuliwa ili kunusuru ufanisi wa train yetu...
Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
Rais Samia ameandika kupitia X
Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika.
Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro.
Ikumbukwe...
Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.
Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU
Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
Treni za Mwendokasi ni treni nzuri sana, in short they are comfortable and fast. Lakini kama mwanaharakati, I haven't noticed many obligations but recently people in the social medias wameleta malalamiko yafuatayo;
1. No smoking zone in waiting area
Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna...
Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa.
Hoja la malalamiko ya awali...
Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini?
Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.