The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Shirika la reli nchini, Tanzania Railways Corp limefanya kweli kwa kutoa ratiba ya safari za treni Dar-Dom zitakazoanza Julai 25 na sasa kwa treni ya mwendokasi utaweza kusafiri kwa masaa 3.25 kutoka Stesheni, Dar es Salaam mpaka Dom. Usafiri wa mabasi ya mikoani kawaida hutumia masaa nane...
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR).
Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
Kwa sasa treni inasafiri kati ya Dar na Moro. Ni vizuri wahusika wakafanyia kazi baadhi ya mambo kabla usafiri haujatanuka kufikia maeneo mengine. Baadhi ya changamoto ni hizi hapa.
Kwenye stations maeneo ya kukaa abiria ni finyu hii inasababisha msongamano mkubwa ya watu.
Kwenye stations kuna...
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai.
Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki.
Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
Salaam Wakuu,
Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli.
Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
Upande wa wanyama naelewa, ila hapa kwenye shangazi kaja haijaingia akilini kabisa! Kwamba anayetumia begi/mfuko wa shangazi kaja, huo mfuko unahesabika kama silaha? Au mtu akibeba shangazi kaja anakuwa halipi nauli? Yeye siyo mlipa kodi ambaye pesa yake imechangia kwenye kukamilisha ujenzi wa...
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu...
Jana Alahamisi jioni luninga ya Chaneli Ten ilionesha kikundi cha UVCCM wakiwa stesheni ya SGR ya Dar as Salaam tayari kwa kupanda treni kwenda Morogoro na kurudi, kikundi hicho kilipokelewa na meneja mkuu Kadogosa ambaye alionekana akitia maelezo kuhusu reli na treni hiyo.
Hivi vikundi vya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema viwanda zaidi ya 250 vinatarajiwa kujengwa eneo la Kwala, wilayani Kibaha Mkoani Pwani, ambapo amedai hatua hiyo inachangizwa na uwepo wa Treini ya kisasa ya (SGR) inayopita karibu na eneo hilo.
Kadogosa amesema kuwa...
NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33
Mikoa itakayoathirika...
Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege.
Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR
NA NIRC, Dodoma
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako
Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe
Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
BRT ilipaswa kuwa fahari ya Dar kwenye masuala ya usafiri wa umma lakini leo BRT umekuwa janga kwa wasafiri wenye kuhitaji ustaarabu kama watu wazima na wazee. Mnajua jinsi unavyohitajika kuwa na msuli na mbio ili uweze kupanda BRT.
Ndivyo itakavyokuwa kwa SGR kama hatuta binafsisha mradi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.