SGR vs BMW x3 F25

SGR vs BMW x3 F25

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
59,315
Reaction score
134,769
Wadau wa magari mnaendeleaje na ujenzi wa taifa? Kuna wataalam wa magari huko Instagram wameamua kushindana na SGR train. Wao watatumia BMW X3 F25 sijui ina engine gani N20 N47 au N55.
Wamechagua gari nzuri kwa mwendo na usalama kwanza. Ila niliwaona ni vichaa. Maanake SGR train inatumia 4hrs ili ushindane nayo inabidi utumie less than 4hrs kutoka Dar hadi Dodoma ambazo ni 450km. Hapo inabidi upate wastani wa 112kph tunaoendesha tunajua unatakiwa uendeshe mwendo gani ili uweze kupata wastani huu.
Lakini nimewasikia wakisema watatangulia masaa mawili kanla ya train yaani wao wataomdoka Dar saa 0400 wakati train inaondoka saa 0600
Baada ya kusikia hivi nikajua sasa akili imewarudia na kwa maoni yangu hapa hakuna ushindani maanake hata mimi kama naamua kushindana na SGR train nikatangulia masaa mawilk kwenda Dodoma nitawahi kufika kabla ya treni tena na gari ya kawaida kama Toyota Crown 4GR.
Je una maoni gani kuhusu huu mtanange?
Nb: Hii ni ordinary SGR train sio ile mchongoko inayotumia 3hrs.
 
Kwny Top gear Kuna episode Moja niliona wanafanya kitu kama hicho,lkn mazingira Yao na sisi ni tofauti mnooo.
 
hiyo ni simple arithmetic kama sgr inakwenda 160 km/h hakuna jinsi gari kwa mazingira ya tanzagiza inaweza ku-compete, kwani hauwezi kuendesha 160 km/h in tanzagiza kwa zaidi ya masaa 4 mfululizo, kwanza hata hiyo 100km/h kwa zaidi ya lisaa 1 constantly haiwezekani, hii ni no brainer ...
 
Bara bara zetu naona zina magari mengi na pia ni kutafuta ajali tu kwa maana maeneo karibu na makazi ni 50km/h watu wakitaka kukimbia waende Zambia au Botswana wao wanaruhusu hadi 120km/h kutembea 160 au 180km/h kwa wastani ni mwendo wa kawaida tu maana unakuta mashine inasoma 220 zingine 240 dashboard..pana jamaa wawili mmoja wa Mwarabu wa Mwananyamala na mwingine wa Mwenge wakikupita ukiwa dashboard inasoma 180 unaweza kudhani gari yako imesimama hao wakitoa Johannesburg wanakuja kulala Mpika na wanatumia masaa machache sana hapo Zambia kwenda Jela wakikamatwa kwa mwendokasi na kutokea mahakamani kawaida sana gari zinakimbizwa kama zimeibiwa..
 
Wadau wa magari mnaendeleaje na ujenzi wa taifa? Kuna wataalam wa magari huko Instagram wameamua kushindana na SGR train. Wao watatumia BMW X3 F25 sijui ina engine gani N20 N47 au N55.
Wamechagua gari nzuri kwa mwendo na usalama kwanza. Ila niliwaona ni vichaa. Maanake SGR train inatumia 4hrs ili ushindane nayo inabidi utumie less than 4hrs kutoka Dar hadi Dodoma ambazo ni 450km. Hapo inabidi upate wastani wa 112kph tunaoendesha tunajua unatakiwa uendeshe mwendo gani ili uweze kupata wastani huu.
Lakini nimewasikia wakisema watatangulia masaa mawili kanla ya train yaani wao wataomdoka Dar saa 0400 wakati train inaondoka saa 0600
Baada ya kusikia hivi nikajua sasa akili imewarudia na kwa maoni yangu hapa hakuna ushindani maanake hata mimi kama naamua kushindana na SGR train nikatangulia masaa mawilk kwenda Dodoma nitawahi kufika kabla ya treni tena na gari ya kawaida kama Toyota Crown 4GR.
Je una maoni gani kuhusu huu mtanange?
Nb: Hii ni ordinary SGR train sio ile mchongoko inayotumia 3hrs.
Naona hoja yako ina mantiki. Kama wanatangulia masaa mawili, basi ushindani unabadilika kabisa.

Kwa mfano:

Ordinary SGR: huondoka saa 12:00 asubuhi na kufika takribani baada ya saa 4 (karibu saa 10:00 AM).

BMW: linaondoka saa 4:00 asubuhi.

Hii ina maana gari lina dirisha la saa 6 (kuanzia saa 4:00 hadi saa 10:00) kufika Dodoma kabla ya treni. Kwa umbali wa takribani km 450, wastani unaohitajika ni karibu 75 km/h, ambao unaweza kupatikana kwa kuendesha kwa utulivu, ukizingatia vituo, msongamano, na sheria za barabarani.

Ndiyo maana watu wengi wanaweza kusema kwamba:

Kama lengo ni "kufika kabla ya treni", kuondoka masaa mawili mapema kunafanya changamoto iwe rahisi zaidi.

Kama lengo ni "kuonyesha gari lina kasi kuliko treni", basi kulinganisha kungekuwa na maana zaidi kama vyote vingeondoka kwa wakati mmoja. Hapo ndipo ungehitajika kudumisha wastani wa zaidi ya 110 km/h, jambo ambalo si rahisi na linaweza kuwalazimisha madereva kuendesha kwa kasi zisizo salama katika baadhi ya sehemu za barabara.

Kuhusu BMW X3 F25, toleo hilo linaweza kuwa na injini tofauti kulingana na mwaka na soko:

N20 – petroli 2.0 turbo.

N47 – dizeli 2.0 turbo.

N55 – petroli 3.0 turbo (hutumika kwenye matoleo yenye nguvu zaidi kama X3 xDrive35i).

Hata hivyo, aina ya injini siyo jambo kuu kwenye changamoto ya aina hii. Kinachoamua zaidi ni usalama, sheria za barabarani, hali ya barabara, na muda wa kusimama njiani.

Kwa mtazamo wangu, kama ni maudhui ya burudani na wanazingatia kikamilifu sheria za usalama barabarani, hakuna tatizo. Lakini kama ushindani unawahamasisha watu kuendesha kwa kasi kupita kiasi ili "kuishinda treni", hilo si jambo la busara. Treni ina faida ya kutokukutana na foleni, makutano, au magari mengine, wakati dereva wa gari lazima azingatie sheria na hali halisi ya barabara.
 
Bara bara zetu naona zina magari mengi na pia ni kutafuta ajali tu kwa maana maeneo karibu na makazi ni 50km/h watu wakitaka kukimbia waende Zambia au Botswana wao wanaruhusu hadi 120km/h kutembea 160 au 180km/h kwa wastani ni mwendo wa kawaida tu maana unakuta mashine inasoma 220 zingine 240 dashboard..pana jamaa wawili mmoja wa Mwarabu wa Mwananyamala na mwingine wa Mwenge wakikupita ukiwa dashboard inasoma 180 unaweza kudhani gari yako imesimama hao wakitoa Johannesburg wanakuja kulala Mpika na wanatumia masaa machache sana hapo Zambia kwenda Jela wakikamatwa kwa mwendokasi na kutokea mahakamani kawaida sana gari zinakimbizwa kama zimeibiwa..
Barabara zeru ni very risky kuendesha above 120kph
 
Naona hoja yako ina mantiki. Kama wanatangulia masaa mawili, basi ushindani unabadilika kabisa.

Kwa mfano:

Ordinary SGR: huondoka saa 12:00 asubuhi na kufika takribani baada ya saa 4 (karibu saa 10:00 AM).

BMW: linaondoka saa 4:00 asubuhi.

Hii ina maana gari lina dirisha la saa 6 (kuanzia saa 4:00 hadi saa 10:00) kufika Dodoma kabla ya treni. Kwa umbali wa takribani km 450, wastani unaohitajika ni karibu 75 km/h, ambao unaweza kupatikana kwa kuendesha kwa utulivu, ukizingatia vituo, msongamano, na sheria za barabarani.

Ndiyo maana watu wengi wanaweza kusema kwamba:

Kama lengo ni "kufika kabla ya treni", kuondoka masaa mawili mapema kunafanya changamoto iwe rahisi zaidi.

Kama lengo ni "kuonyesha gari lina kasi kuliko treni", basi kulinganisha kungekuwa na maana zaidi kama vyote vingeondoka kwa wakati mmoja. Hapo ndipo ungehitajika kudumisha wastani wa zaidi ya 110 km/h, jambo ambalo si rahisi na linaweza kuwalazimisha madereva kuendesha kwa kasi zisizo salama katika baadhi ya sehemu za barabara.

Kuhusu BMW X3 F25, toleo hilo linaweza kuwa na injini tofauti kulingana na mwaka na soko:

N20 – petroli 2.0 turbo.

N47 – dizeli 2.0 turbo.

N55 – petroli 3.0 turbo (hutumika kwenye matoleo yenye nguvu zaidi kama X3 xDrive35i).

Hata hivyo, aina ya injini siyo jambo kuu kwenye changamoto ya aina hii. Kinachoamua zaidi ni usalama, sheria za barabarani, hali ya barabara, na muda wa kusimama njiani.

Kwa mtazamo wangu, kama ni maudhui ya burudani na wanazingatia kikamilifu sheria za usalama barabarani, hakuna tatizo. Lakini kama ushindani unawahamasisha watu kuendesha kwa kasi kupita kiasi ili "kuishinda treni", hilo si jambo la busara. Treni ina faida ya kutokukutana na foleni, makutano, au magari mengine, wakati dereva wa gari lazima azingatie sheria na hali halisi ya barabara.
Barabara zeru si salama sana kwa mwendo kuanzia 120kph
 
Wakamatwe wapelekwe polisi haraka sana kwa kutishia kuhatarisha maisha ya watumishi wengine wa barabara.
Au waombe kibali cha mashindano siku hiyo barabara ya Dar-Dodoma ifungwe kwa watumiaji wengine wabaki wao tu.
Relax mkuu.
 
Kwny Top gear Kuna episode Moja niliona wanafanya kitu kama hicho,lkn mazingira Yao na sisi ni tofauti mnooo.
Top gear walitumia gari sikumbuki ni ipi ila ni high end kushindana na Euro star train. Wote walianzia sehemu moja. Ingine walishindanisha Buggati na zile ndege ndogo. Sikumbuki nani alishinda.
Ninayokumbuka ni Buggati vs Typhoon fighter jet. Race ya 1mile kwenda na kurudi. Ndege inaruka juu 1m na inarudi chini 1mile kuvuka mstari. Buggati ilichapwa na ile ndege kama utani.
 
hiyo ni simple arithmetic kama sgr inakwenda 160 km/h hakuna jinsi gari kwa mazingira ya tanzagiza inaweza ku-compete, kwani hauwezi kuendesha 160 km/h in tanzagiza kwa zaidi ya masaa 4 mfululizo, kwanza hata hiyo 100km/h kwa zaidi ya lisaa 1 constsntly haiwezekani, hii ni no brainer ...
Gari inapewa 2hr headstart kwa maoni yangu gari inaweza kutangulia. 2hrs gari inakuwa ishafika Moro ina maana wakati train inaanza kuondoka gari iko Morogoro na kuanzia Moro kuelekea Dodoma barabara haina msongamano ingaa kuna mashimo ya hapa na pale.
 
Back
Top Bottom