Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 509
- 489
TRC Yaimarisha Usalama wa SGR kwa Teknolojia ya Laser
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza uwezo wa usalama wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kununua magari mawili maalum yenye mifumo ya kisasa ya laser kwa ajili ya kubaini hitilafu na vihatarishi katika vipande vya 1 na 2. Teknolojia hiyo itawezesha ufuatiliaji na utatuzi wa changamoto kwa haraka na usahihi zaidi, hivyo kusaidia kuzuia ajali na kuimarisha usalama wa huduma za rel
i.