serious

Serious is an observational documentary series made by the BBC and broadcast as part of their children's programming. It encompasses Serious Jungle (2002), Serious Desert (2003), Serious Arctic (2005), Serious Amazon (2006), Serious Andes (2007), Serious Ocean (2008) and Serious Explorers (2011). Serious Ocean consisted of ten 30-minute episodes, while each previous series was six 30-minute episodes. In each series a group of eight 12- to 15-year-olds embark on an expedition to an extreme part of the world, in order to help wildlife or assist in environmental projects. The programmes have won numerous awards, among them honours from BAFTA and the Royal Television Society.
So far only Serious Amazon, Serious Ocean and Serious Andes have been aired in Australia, on ABC1 and ABC3.
The series has also been shown on Discovery Kids/The Hub, where five complete seasons have been shown. Slovenian television Kanal A has bought the rights to air Serious Amazon. The show airs Saturdays at 2:10 pm, under the title Vse o Amazonki (All About the Amazon).The Italian television network RAI in early 2009 aired Serious Jungle, Serious Desert, Serious Arctic, Serious Amazon, and Serious Andes.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

    Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa na Nape mko serious kuhusu mpira wa miguu nchini?

    Nimemsikia Nape anasema serikali inataka kuandaa Afcon... Baadae nikamsikia Mchengerwa anasema tunaenda kombe la Dunia mwaka 2030...swali la kuwauliza hawa ndugu zetu wako serious?... Kama wako serious mbona hatuoni hata hatua za mwanzo za maandalizi?.. Hatua ya Kwanza ilikuwa kuunda...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

    Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo. Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe...
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawaandiki serious thread, ila kwenye thread zao kuna mafunzo mengi

    Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana. Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
  5. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya uhuru bado tunahangaika na shida ya maji

    Aiseee! Tuache utani miaka 61 bado tunaangaika na maji, vyoo, elimu na vitu vidogo vidogo tu aisee! Inanikera mazee! Tumlaumu nani? Nyerere? Sisi wenyewe? Au viongozi wetu? Na je tukiwapa chadema kura huu upuuzi wa ccm ndiyo itakuwa bye bye? Tutafakari wala sipo na utani wakuu naumia sana
  6. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mnaotangaza nafasi za ajira mkitoa namba zenu msisite kupokea

    Humu jamiiforums jamani Kuna watu hawapo serious kabisa yaani haiwezekani mtu uweke post ya ajira kwamba unahitaji mtu wa fani Fulani unaweka namba yako ukipgiwa hupokei au unakata au ukipokea unasema nitakupigia badaye sijui nini, blah blah nyingi. Kwahiyo naomba mnatangaza nafasi za ajira...
  8. muu00

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke, awe na umri wa miaka 18-32

    Habari zenu wana JamiiForums nahitaji mke alie na utulivu wa nafsi na siyo mwenye tamaa. Awe MUSLIM na pia awe bado hajazaa, umri awe 18-32. Awe mweusi au mweupe, pia awe na umbo zuri (shape). Mimi ni mweupe, mrefu kiasi, umri wangu 33, ni mfanya biashara. Kama upo serious karibu PM au ni...
  9. stephenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

    Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka 23. Dini yoyote Kabila lolote Elimu yoyote. Awe na hofu ya Mungu. Awe msafi Mimi sifa zangu Rangi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Inyala, Mbeya ninampinga Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa agizo lake "quick fix" na kumsihi awe serious na maisha ya Watanzania

    Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya Makamu wa Rais Dkt. Mpango kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanza ukaguzi...
  11. technically

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano usiwe serious sana utateseka

    Ukiwa serious sana kwenye mahusiano au ndoa utakeyeumia ni wewe. Nimejifunza kutokuwa serious kwenye ndoa au kwenye mahusiano yeyote yaani utapendwa tu automatically. Wanawake wanapenda Sana wanaume ambao they don't care about anything Ila wanaojitambua. Don't fall in love but kuwa na upendo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Acheni kuchukulia serious, reports za CAG ni kama comedy shows, vichekesho 100%

    Ni kama routine tu ya kibaolojia kwamba itabidi uende haja ndogo na kubwa ili mwili uendelee ku operate, ni kama routine kwamba itabidi ule ili u survive. Ndivyo ilivyo reports za CAG kwa Tanganyika na Zanzibar, pesa zinapigwa kwelikweli, reports zinasomwa kila mwaka upigaji unaongezeka nobody...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tatizo very serious kuhusu hiki tunachokiita mahusiano hasa ya ndoa, tumekosea wapi? Nini kifanyike?

    Wanajukwaa Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa mambo mengi tu, mpaka nimeleta Uzi huu nimejiridhisha kuna tatizo sehemu au kuna kitu sisi binadamu au niseme Watanzania kuna sehemu tumekosea, sitaki kuhusisha dini labda Mungu tu ndio tumuhusishe. Katika utafiti wangu usiyo rasmi nimeshuhudia...
  14. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Geita muwe serious kidogo

    Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa. Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo. Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

    Comrade Kinana amepasua jipu. Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama. Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari. Ni jambo la kawaida sasa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'On a Serious Note' Haji Manara asaidiwe upesi 'Kisaikolojia' kwani anaanza 'Kuwehuka' na Kujidhalilisha hadi Kuwadhalilisha Waliomuajiri

    Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata. Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  18. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

    Habari zenu, Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake. Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani. Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo. Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue. Kuna jamaa...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tizama Mbowe anavyofurahia safari za Ikulu. Haonekani kuwa Serious Ndo Maana hata Mazungumzo ya huko yanakosa Tija

    Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh... Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa? Yaani hata Samia anamshinda amechora uso...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi watawala wetu wapo "serious" kweli Katika kujibana na kujinyima Ili kukabiliana na kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Samia, aliyoitoa jana, kuhusiana na kilio cha wananchi kuhusu kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani. Katika hotuba hiyo nime-highlight, jambo muhimu Sana aliloliongelea, anasema kuwa ni LAZIMA watendaji wa Serikali, TUJIBANE na KUJINYIMA, Katika kipindi hiki...
Back
Top Bottom