Looking for a serious man to start a family with

Florious

Member
Mar 22, 2023
8
21
Hello members!

I am a 34-year-old Christian woman with one child, looking for a serious man to start a family with. I am employed in the private sector.

If you meet the following criteria - 34 years or older, with a legal source of income, Christian, and mature - welcome to my PM."
 
Hello members!

Im a Christian woman of 34 with one kid,looking for a serious man to start a family with.I am employed in private sector.

If you mean it,34 years/above,have legal earning,Christian,and matured enogh, welcome to my Dm.

IMG_8002.jpg
 
Wanawake Narudia kuwambia ,endeleeni kushupaza shingo.


Hivi Mwanaume wa miaka 35, 36, 37 38 nakuendelea, yeye Hana Mchumba, Hana Mke ? Kwamba alikua anakusubiria wewe ?

Au unazungumzia Wagane na waloachana kwenye Ndoa ?.


Wewe sema, nataka Mwanaume ,mwenye kazi, awe mkristo, awe amekomaa, umri uanzie miaka 30 nakuendelea !!.

Wewe una miaka 34, Kwan ukiolewa na wamiaka 30 Kuna tatizo?.

Wanaume Waoaji wengi wako kwenye miaka 30--33 , hapa Ndipo wengi wanaoa.


Juu ya hapo, uyo mwanaume ana Matatizo yake binfsi, au ndo Hawa "Kataaa Ndoa, Ndoa ni utapeli , Ndoaa ni wizi".
 
Ukimpata huyo mchumba mtakuwa mnaongea kiingereza humo chumbani? Ukiandika kiswahili kuna kitu kitapungua?
Hello members!

Im a Christian woman of 34 with one kid, looking for a serious man to start a family with. I am employed in private sector.

If you mean it, 34 years/above, have legal earning, Christian and matured enogh, welcome to my Dm.
 
Dak 0'

Baraka Mpenja: Karibu sana katika derby ya kariakoo, timu ndo zinaingia uwanjanii...oooh Yanga tayari ana goli 1... haya ni majabu, mpira Hata haujaanza Yanga kashapata goli!!!"

Dak 5'
Baraka Mpenja: "Yanga wanacheza rafu sana, mguu wa shingo, mguu wa Roho"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom