serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  2. T

    Mwigulu ni Petro wa Pasaka hii kwa kumsingizia mama kuidhinisha malipo ya ovyo serikalini. Zawadi ya Pasaka kwa watanzania ni mama kumtumbua leo hii.

    Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
  3. R

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  4. S

    Ni kweli Undugunazisheni serikalini ndio chimbuko la wizi na ufisadi mkubwa serikalini?

    Nimesikiliza maoni ya watu wakiwemo watazamaji wa ITV kwenye kipindi cha Kipima joto jana ambapo wengi wameelezea kuwa tatizo la undugunaizesheni ndani ya serikali ndio chimbuko la wizi na ufisadi. wamesema watuhumiwa wa ufisadi wanashindwa hatua kutokana na baadhi yao kuwa na mafungamano na...
  5. Kufanya kazi Serikalini ni shavu sana

    Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu. Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe.. Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana...
  6. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  7. Arusha: Vigogo Serikalini waitwa kortini kesi ya mzee aliyepotea Loliondo

    Muktasari: Vigogo walioitwa kwenye shauri hilo bila kufika ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mkuu wa mkoa wa Arusha, Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Arusha, mkuu wa wilaya ya Ngorongoro na mkuu wa polisi wilaya ya Ngorongoro. --- Kesi ya kulazimishwa kupotea...
  8. R

    Ushauri kwa wenye mamlaka serikalini: Itumieni JF kubaini mapungufu katika maeneo yenu mnayosimamia/mnayoyaongoza

    JF ni hazina (rich source of information) ya taarifa mbali mbalimbli zinazotolewa na members. Fahamu kuwa kila idara/sekta/eneo la kiserikali la kazi haiwezi kukosa mtu member wa JF. Hivyo kama kuna maovu yanayotendeka, ukifuatilia JF utayakuta wameyataja/wameyaandika. Unaanzia hapo unatafuta...
  9. R

    Mashimba Ndaki ametumbuliwa. Je, Mawaziri Mizigo wamekwisha Serikalini?

    Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
  10. Mbowe aitaka CCM iweke mfumo wa kudhibiti viongozi wanaoweza kuingia Serikalini, atao mfano ANC inavyoweza kumng'oa Rais

    Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache iliyopita na kuitaka CCM badala kuwalinda hata wanaofanya dhambi ya wazi. Mbowe amesema ameamua kufunguka...
  11. S

    Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
  12. Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
  13. Kanisa la Nabii Suguye lafunguliwa, atuma ujumbe serikalini

    Kanisa la huduma ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya Pili limefunguliwa na kuendelea kutoa huduma baada ya kufungwa kwa miezi mwili. Dar es Salaam. Nabii wa Kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) la Kivule- Matembele ya pili jijini Dar es...
  14. K

    Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

    Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama. Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
  15. Hofu ya Panga Pangua ya Rais Samia yatanda serikalini

    Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali. Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya wateule wanaishi kwa...
  16. L

    Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
  17. Licha ya maovu ya dhahiri yanayofanywa na watendaji Serikalini, je ni kwanini hatua za kuwawajibisha hazichukuliwi?

    Tunaona kwenye ripoti mbalimbali za fedha za Kila mwaka za CAG, zikiibua ufisadi mkubwa wa mabilioni, unaofanywa na watendaji Serikalini, lakini tunaona ni "business as usual" inayoendelea na hakuna hatua zozote za kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya Sheria zinazochukuliwa! Tunashuhudia...
  18. Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi. Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
  19. Hali ya wizi Serikalini awamu ya Sita imevuka mipaka

    Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa === Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda {MUWASA}, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi...
  20. Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

    Wakuu, Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…