serikali

  1. S

    CCM ni MAKUPE walioiganda Serikali ya Tanzania

    Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.
  2. Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
  3. Mbunge wa Nyang'hwale aishauri serikali kuweka bei elekezi ya kuunganisha umeme

    Serikali imeshauriwa kuweka bei elekezi ya uunganishaji wa umeme maeneo yote nchini ili kuwawezesha wananchi wa mijini na vijijini waweze kupata huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa leo Jumatatu Aprili 28,2025 bungeni Jijini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Nyang'hwale Hussein Nassor wakati...
  4. DC Magoti asema hakuna wa kuhoji, aagiza waliouziwa eneo la serikali wajisalimishe

    Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni kuuziwa ardhi eneo la Serikali. Wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bw. Petro Magoti...
  5. Serikali yatunga Kanuni kuzuia Wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
  6. Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  7. S

    Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  8. Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  9. H

    "Kila sheria ni haramu, kila serikali juu ya uso wa dunia ni haramu"By Bob Marley

    Huu ndiyo uhalisia kwani sheria zimewekwa na serikali ambazo zina tanguliza masilahi ya familia za viongozi wake.
  10. Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

    Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni ya usafi huku adi sa 4 asubui , Leo asubui dogo kafungua goli (salon) sa 3 na nusu , gafla kaja mtendaji kamuuliza jina na kuchukua namba yake ya simu, kisha kamwambia Leo hajafanya usafi aripoti ofisini juma 3. Dogo kabaki ameshangaa maana hata ofisi ya serikali...
  11. PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  12. S

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
  13. PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  14. Serikali imeshinda kesi 352 mwaka 2024/25

    SERIKALI IMESHINDA KESI 352 MWAKA 2024/25 Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Kesi 867 ziliendeshwa mahakamani zikiwemo kesi mpya 461. Kati ya kesi mpya zilizofunguliwa mahakamani, 10 ni kesi kubwa ambazo zilifunguliwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya...
  15. PreGE2025 Serikali yaidhinisha bilioni 30 kukarabati barabara Ifakara – Mlimba kwenda mkoa wa Njombe

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
  16. Mwambieni BASHE, Hasara ni kubwa Kwa Wafanyabiashara wa Bidhaa zinazoharibika mapema, Serikali iwalipe Fidia Hawa wafanyabiashara!!

    Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani. Pia soma: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini BASHE alikua na...
  17. C

    Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  18. Serikali inaweza kulinda madaraka yake?

    "Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu" Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache. Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele. Iwapo serikali itawajibika...
  19. Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

  20. Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…