serikali

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
  2. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

    Na. M. M. Mwanakijiji Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Trump atishia 'kusitisha ruzuku na mikataba yote ya serikali anayopata Elon Musk

    Donald Trump ameendelea kumshambulia Elon Musk kupitia mtandao wa Truth Social, akisema: "Elon alikuwa ‘anavuka mipaka’, nilimwambia aondoke, niliondoa amri ya magari ya umeme (EV Mandate) iliyolazimisha kila mtu kununua magari ya umeme ambayo hakuna aliyoyataka (ambayo alijua kwa miezi kadhaa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hivi haya matukio ya namna hii hupangwa na CCM, serikali au wavaa kaunda suit?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo naomba nianze na matukio matatu yalioanza kutokea katika chaguzi kuu tatu za Tanzania, ili kujua na kufahamu kuwa ni kina nani ambao huwa wanapanga mipango hii kila inapofikia karibu na uchaguzi mkuu wa Tanzania. Mwaka 2015, karibu na uchaguzi mkuu, vyama vya...
  6. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  8. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Mwambukusi: Je, kupishana na serikali kunaondoa thamani ya uhai wa mtu?

  9. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Nadharia na viapo vya serikali kuficha mambo yao ya siri na kutumia siasa kuficha siri zao

    Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy. Cooper alidai...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kubana matumizi ya serikali ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi

    China hivi karibuni imetangaza kurekebisha Kanuni za Idara za Chama cha Komunisti cha China na Serikali za Kubana Matumizi na Kupinga Ufujaji, na kufafanua kuwa idara za Chama na serikali zinapaswa kubana matumizi, ili kuhakikisha rasilimali nyingi zaidi za umma zinatumiwa kwa ajili ya kuboresha...
  12. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

    https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3 Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu. Tafakari kwa kina.
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Serikali yatoa bilioni 26.9 kujenga Skimu ya umwagiliaji Mwamapuli

    📍NIRC: Igunga Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 26.9...
  14. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa na misikiti ni muhimu kwa WAAFRIKA kwanini serikali wafungiww?

    Habarini, Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga? Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama na Serikali vinafanya kazi na malengo tofauti.

    Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia. Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa. Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe . Polisi hawana mamlaka juu ya...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Ipo serikali nyingine isiyoonekana (ya wasiojulikana). Hii ndiyo inayoamua kila kitu na hii nyingine ya nje ni mwanasesere tu

    "....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu wanaikosesha serikali mapato halali ya kodi

    Wakati wa utawala wa JPM aliwahi kuwashukia baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu kwa kusababisha serikali kukosa mapato yake halali yatokanayo na kodi. Aliwaambia ana kwa ana kuwa wanahusika katika kutoa mahesabu yaliyokaguliwa ya aina mbili. Seti ya kwanza ya mahesabu yaliyokaguliwa ni...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali isitishe kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima

    Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Uingereza yatishia kumshtaki Roman Abramovich

    Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki nchini Uingereza. Kiwango hicho cha fedha ni malipo ya kuuzwa kwa Chelsea Mwaka 2022, ambapo...
Back
Top Bottom