serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Ubungo fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni ni hatarishi kwa afya, havifai kabisa kutumika

    Mungu tusaidie jamani Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni. Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3 vinaelea kinyesi kizito juu, yaani unafungua hiki kimejaa maji na kinyesi juu nenda kile nenda kingine...
  4. JamiiForums Tanzania Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali inatweet vipi katika mitandao iliyoifungia?

    Ni kuuliza tu si kwa ubaya. Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu. Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini. Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunataka kero ikifika ofisi ya serikali ipatiwe ufumbuzi, wanaopuuza watatolewa kazini

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzindua jukwaa la vijana Januari 10, 2026

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Serikali ya Venezuela itatupatia mapipa Milioni 30-50 ya mafuta, tutayauza na fedha nitasimamia zinufaishe pande zote

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema serikali ya mpito ya Venezuela imekubali kuipatia Marekani mamilioni ya mapipa ya mafuta yatakayouzwa kwa bei ya soko la kimataifa, huku mapato yakielezwa kuwa yatanufaisha wananchi wa nchi zote mbili. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

    Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo . Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania. Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ??? Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa . Mimi siungi mkono kabisa . Na nawaambia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Marekani imezilenga tena nchi za Afrika kwenye vizuizi vya kuingia Marekani?

    Hivi karibuni serikali ya Rais Donald Trump ilitangaza orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanawekewa vizuizi vya kuingia Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema orodha hiyo inahusisha nchi zilizothibitishwa kuwa na upungufu sugu na mkubwa katika ukaguzi, uhakiki, na...
  14. JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria

    Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

    Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza . Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k Huu ndio msingi...
  18. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
  19. JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kidikiteta

    Serikali ya kidikitea. Haiko madarakani kwa lidhaa ya wananchi huwa haina sababu ya kujali mahitaji ya wananchi. Hii serikali ya haramu iliifungia Jamiiforums kwa siku 90. Siku 90 zilishaisha lakini bado imeendelea kuifungia JF. Kwa hiyo unaweza kuona udikiteta wake. Yenyewe ndio ilisema inaipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…