serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania ACT na Mpina Serikali 3 zitawachelewesha kama wenzenu

    Maalim Seif alikuwa na nguvu kisiasa lakini serikali 3 zilimzuia kwenda Ikulu hadi akaondoka zake. Nyie mna mikakati Gani tofauti na Seif? Kushinda sio kazi ila kazi ni kutangazwa, Shauri mjaribu kuhubiri serikali 1 au 2 hizihizi hadi hapo mtakapokwenda Ikulu kwa kutumia Katiba hiihii ya...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Kuna Mahoteli mengi na maghorofa mengi yamejengwa kwa wizi wa fedha za Serikali. Nikiapishwa yatakuwa mali ya serikali

    Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania TLP: Tutahakikisha Maiti hazizikwi na Serikali mkituchagua tuwaongoze

    Mgombea wa Urais Kupitia chama cha Tanzania Labour Part (TLP) Yustas Rwamugira amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Maiti hazizikwi na serikali kutokana na ndugu kushindwa kulipia Pesa za mochwari hivyo atahakikisha anafuta malipo ya...
  7. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nashauri Mafao ya Ndugai na mali zake zigawanywe nusu kwa nusu kwa wake zake, ili kuondoa mvurugano unaoweza kujitokeza

    Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake . Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili. Na mahausiano yao yalikuwa vizuri . Hivyo naomba Serikali na wadau wa sheria tuhakikishe huyu Mama mke wa kwanza wa Ndugai anapata mafao , na haki zote muhimu Kama...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Serikali tazameni haki za wasaidizi kazi za nyumbani (Housegirls), wanayoyapitia yanavuka utu na haki kama wanadamu

    Wakuu mnamkumbuka Mahita? Aliemzalisha House Girl halafu akakataa kuhudumia? Mbali na hiyo, siku hizi unakuta katoto kana miaka 11, 12 tayari ni kahouse girl hata kupika hakajui. Mataso kanayoyapitia ni zaidi ya unyama. Juzi nilikutana na kabinti maeneo ya Uzunguni kamebeba kapu kanasubiri...
  10. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yaongeza bilioni 10 elimu bure Tabora

    Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa sekta ya elimu...
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kukitumikia chama na serikali chama kimeshindwa mkumbuka Ndugai katika mapokezi ya uchukuaji form ya ugombea Urais 2025

    Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba burudani iendelee
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Kusini imetoa maamuzi ya Serikali ya Zambia kusimamia mazishi ya Edgar Lungu

    Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka kwa familia yake Mahakama Kuu ya Pretoria imetoa uamuzi huo kwa upande wa Serikali ya Zambia, ambayo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu serikali ya ithibati

    1. Haigharamii elimu ya waandishi wengi wa habari, lakini inawatoza Tsh.50000 kila mmoja. 2. Haijali wana ajira au hawana,lakini inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja. 3. Haijui wanalipwa kiasi gani, wana mikataba au wanayo, inawatoza Tsh. 50000 kila mmoja. 4. Una tuma maombi online na kulipa ada...
  15. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi. Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

    Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanzanzibari wacheche wasomi wasio na kazi. Serikali inawapendelea!

    Ukienda kwenye balozi nyingi wamejaa wanzanziibari. Kwa kusingizia dini wamejazwa kwenye nchi zote za Gulf. Wapo balozi zote za Ulaya na Marekani. Wabara wamajaa balozi za Africa na nchi masikini. Hapa siongelei mabalozi bali wafanyakazi wa balozi. Kuna wakurugenzi, wakuu wa wilaya , mikoa...
  18. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Kuna chama kimeahidiwa serikali ya umoja wa kitaifa hapo oktoba 2025 na mgombea wao wa urais wiki ijayo atahamia chama hicho

    Baada ya maji kuzidi kulowana. Kuna chama kimeahidiwa kupewa mawaziri kadhaa na kuundwa Kwa serikali ya UMOJA WA KITAIFA Ili kuonyesha demokrasia ipo na kuizika Rasmi CHADEMA. Baada ya leo mtoto wake kuhamia Chama hicho next week kama SIO Tarehe 10 ya wiki Hii kutakuwa na kung'atuka Kwa mgombea...
  19. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa zaidi ya milioni 400 wilaya ya Nyang'hwale kwa ajili ya miradi maendeleo

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE TAARIFA KWA UMΜΑ Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale inautangazia Umma kuwa imepokea Jumla ya Tsh. 410,000,000 kutoka Serikali Kuu kwa ajili...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kulazimika kuweka taarifa za kabila na dini kwenye nyaraka za serikali

    Kauli hii inaangazia hoja nyeti na muhimu sana kuhusu mwelekeo wa taifa katika kulinda umoja wa kitaifa na misingi ya katiba. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nchi haina dini rasmi, na inapinga ubaguzi wa aina yoyote, ikiwemo misingi ya udini au ukabila. Kwa hivyo...
Back
Top Bottom