, ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake.
Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, alieleza kuwa jengo hilo litakuwa la kisasa, imara na litaweza kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila...
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa.
Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa...
Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini
Watoto...
Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
Hapo mwanzo nilidhani mhimili wa bunge ndio mbovu kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kama asemavyo CAG mstaafu kuwa bunge letu ni dhaifu, taarifa za CAG kila mwaka zinathibitisha kuwa hatuna bunge makini ndio maana mambo yanaenda hovyo hovyo,
Bunge hili limeshindwa kutunga sheria makini...
Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo.
Licha ya asilimia hizi kubaki ndogo 40% zinapoingia mfano kwenye miradi nazo zinaibiwa alafu serikali wanabaki wanashangaa...
Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia nne, ambao tayari umeanza katika upande wa Mkoa wa Mbeya kuelekea Tunduma.
Pia soma ~ Foleni ya...
Serikali mkoani Kagera imeanza operesheni maalumu ya kukagua na kuchunguza shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi ili kubaini walimu wakuu na wamiliki wa shule wanaokiuka kanuni za afya na usalama wa wanafunzi.
Operesheni hiyo inalenga kubaini shule zenye dosari katika miundombinu...
Duniani hakuna cha bure wadau kuna hao viongozi kutwa wapo majukwaani kutwa kulaumu chama tawala dhidi ya maisha duni huku wai wakiwa ni wenye kuneemeka kwenye mfumo huo mbovu wanaouongelea.
Alafu kuna hawa vijana ambao wanao wanajaa upepo wa siasa za majukwaa,expection zinakuwa kubwa sababu ya...
Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
Wadau salam.
Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali.
Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka
Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka
Tunachoka wananchi
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi
Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk
Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo katika mfumo wa serikali au chama tawala hawana haki ya kuishi wala kushiriki katika maendeleo ya taifa...
Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali.
Hivi Serikali inawezekanaje ikapigwa kopi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.