serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sakata La Kanisa Lililolipotiwa Kupiga Muziki Saa 24 Na Kujengwa Kuziba Barabara Serikali Yachukua Hatua Lapigwa Stop Mchungaji Akaidi ( 3 ) .

    Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifanye haya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana

    Kiukweli serikali ya awamu ya tano chini ya JPM imefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya kuboresha miundombinu na huduma za afya kitu ambacho kila mwananchi anatambua hilo bila ubishi. Ila bado vijana wanaonekana kama kundi lililosahaulika ,japo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inasema...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iwasaidie mama lishe kupata majiko na mitungi ya gesi kwa riba nafuu

    Nilimsikiliza Rais katika ufunguzi wa kitu cha mabasi Magufuli kule Mbezi akitambua mchango wa mama lishe katika jamii. Mama lishe wengi wanatengeneza chakula katika hali ngumu sana. Wengi wanatumia kuni kama nishati ya kupikia, sshemu wanazopikia ni duni na mvua ikinyesha wanapata adha...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

    Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

    Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo. Leo hii...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanaoikosoa serikali kwa staha hatuwachukii

    Rais wa JMT ameyasema hayo wakati akizungumza na watanzania kupitia hadhara iliyokusanyika jana viwanja vya mnazimmoja. Rais Magufuli amesisitiza kuwa kwa sasa hapa Tanzania kuna vyombo vingi vya habari ambavyo vimepewa leseni za kufanyia kazi na hii ni ishara kuwa kuna uhuru mkubwa wa habari...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kuvunjwa kwa jiji la Dar, Serikali ipitie upya viongozi hawa

    Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Je, ni nini hatima za wakuu wa idara za Halmashauri mfano afisa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Huu mgao wa umeme unaendeleaje nchini, why serikali inaficha na kudai kuna ziada ya umeme?

    Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme. Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Afrika ilivyo tajiri kwa rasilimali, ingekuwa vyema tuwe na Serikali ya Umoja ndipo ili tuwe matajiri

    Kukosekana kwa serikali ya umoja ambayo itathibiti political instability, usaliti ,uzalendo kwa bara letu kunatufanya tuwe maskini.Nchi za magharibi zimekuwa zikitugawa ili waendelee kuiba rasilimali zetu na wao kuwa super power economically. It is time tuwe na serikali moja itakayoongoza...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbi la Wafanyabiashara kufunga maduka yao kwa sababu ya kutofautiana na Serikali lashika kasi

    Ilianza Songea na sasa ni Mafinga Kesho ni wapi ?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

    Serikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza baada ya kuonyesha kipaji kikubwa kwenye somo la Hisabati. Afisa tawala wa mkoa bwana Kobehelo amesema agizo hilo lianze kutekelezwa mara moja. Naye mbunge wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia ndege kumwaga viatilifu kuangamiza nzige Longido na Simanjiro, shule kufungwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege. Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na wananchi wanaonywa kutookota nzige na kuwala. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama! ------...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo. Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli. Amesema kama hauna uhakika na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba iingilie kati Sisi watu namna Hii tunyanyasika sana.Tukiamua kuchukua Hatua tusilaumiwe

    Hili suala Serikali iingilie kati ili kuokoa madhara ambayo yanaweza kuja tokeo siku za uson. Kumeanzishwa harakati za kutupaka matope,kutupaka choo,kutuua kimaneno,kutudhalilisha na kututweza sisi wenye miili ya mazoezi. Watu wembamba,mabonge na walegevu wanakaza sana kutuharibia image...
  15. JamiiForums Tanzania Mjadala: Viongozi kutokuvaa barakoa,ni maelekezo ya Serikali?

    Picha zinajieleza. Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma. Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na sababu ya Dkt. Tulia kurudia rudia kusema anamwakilisha Spika Ndugai, msiba siyo kikao cha Serikali

    Binafsi niliamini Naibu Spika Dkt. Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali. Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

    Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania. Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku zote hawana nia njema na Tanzania kwa sababu zao ambazo hazina mashiko. Kila mtu anajua sasa hivi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu yupo hoi, huenda Serikali ingeweka wazi, Mzee wangu asingeshiriki kuzika rafiki yao aliyefariki kwa changamoto

    Naandika huku naumia sana. Maisha ya mzee wangu yako hatarini sana anapumua kwa shida sana. Chanzo cha kuumwa. Kuna rafiki yao mzee mwenzao alifariki, wakaambiwa kuwa chanzo cha kifo cha huyo rafiki yao ni mapafu. Kutoka hospital ya Bugando ndugu wa marehemu walipewa mwili kwenda kuzika...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…