ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme.
Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda sijui nini.
Nchi yetu wote tusifichane
Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda sijui nini.
Nchi yetu wote tusifichane