Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

The Saver

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
202
650
Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500

Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa.

Huu ni ujinga ujinga ujinga.

Kama wangekuwa wanataka tozo ya serikali wangeweka flat rate 100 kila transfer inayofanyika.

HIVI KWANINI SERIKALI INAPENDA KUNYONYA HELA ZA WALALAHOI BILA YA KUZIFANYIA KAZI?

Screenshot_20210715_080546.jpg
Screenshot_20210715_080400_com.google.android.apps.docs.jpg
 
Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500

Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa

Huu ni ujinga ujinga ujinga

Kama wangekuwa wanataka tozo ya serikali wangeweka flat rate 100 kila transfer inayofanyika

HIVI KWANINI SERIKALI INAPENDA KUNYONYA HELA ZA WALALAHOI BILA YA KUZIFANYIA KAZI?

View attachment 1854388View attachment 1854389
Sema mkuu si unajua kodi ndo kila kitu.. kumbuka wafanyakazi watakiwa kulipwa mishahara vilevile kuna matumizi Kama vile kulipia operation cost kwenye hizo bank kama vile umeme,maji mafuta ya magari kodi za majengo n.k

Usitake tuishi kijamaa sana..
Cha muhimu tupige kazi wakuu
 
Serikali ya CCM ilivyo na roho mbaya itaziambia bank zipandishe tozo za makato kwa bank ili zilingane na za simu. Ilimradi wamkomoe Mtanzania.

We subiri Mwigulu ajue huu mchongo
 
Huu Ni uzulumaji,

Huwezi kumkata Mtu 14,400 kwa kutuma millioni 1.
AFU Tena, Mtu uyo uyo ukamkata 20,900 kwa kuitoa iyo iyo millioni 1

Kwamaana,
kutuma na Kutoa million 1,unapaswa kuandaa zaidi ya elfu 35 kwa ajili ya makato kutoka elfu 9 ya awali

Na kichosikitisha zaidi,
Serikali inachukua pesa nyingi Kwenye miamala kuliko makampuni yenyewe yaliyowekeza teknolojia, miundo mbinu na Kulipa kamisheni kwa mawakala.

Inasikitisha Sana,
Muamala wa 100,000 kampuni inachukua 820, afu eti serikali inachukua 2500

Huu Ni wizi wa mchana kweupe, na HAUKUBALIKI
JamiiForums426446974.jpg
 
Serikali ya CCM ilivyo na roho mbaya itaziambia bank zipandishe tozo za makato kwa bank ili zilingane na za simu. Ilimradi wamkomoe Mtanzania.

We subiri Mwigulu ajue huu mchongo
Ni aibu Sana serikali kuwaonea wivu wananchi wake
 
Serikali ya CCM ilivyo na roho mbaya itaziambia bank zipandishe tozo za makato kwa bank ili zilingane na za simu. Ilimradi wamkomoe Mtanzania.

We subiri Mwigulu ajue huu mchongo
Muda si mrefu hata tozo za Bank zitapanda

Tumerudi kwenye ujima

Mama anaupiga mwingi(ujinga huu)
 
Huu Ni uzulumaji,

Huwezi kumkata Mtu 14,400 kwa kutuma millioni 1.
AFU Tena, Mtu uyo uyo ukamkata 20,900 kwa kuitoa iyo iyo millioni 1

Kwamaana,
kutuma na Kutoa million 1,unapaswa kuandaa zaidi ya elfu 35 kwa ajili ya makato kutoka elfu 9 ya awali

Na kichosikitisha zaidi,
Serikali inachukua pesa nyingi Kwenye miamala kuliko makampuni yenyewe yaliyowekeza teknolojia, miundo mbinu na Kulipa kamisheni kwa mawakala.

Inasikitisha Sana,
Muamala wa 100,000 kampuni inachukua 820, afu eti serikali inachukua 2500

Huu Ni wizi wa mchana kweupe, na HAUKUBALIKIView attachment 1854410
Serikali haina ubunifu

Ni ujinga ujinga
 
Back
Top Bottom