Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
TAARIFA KWA UMMA wa na Dr Lugendo
Karibuni,
SERIKALI MOJA YA DUNIA NA CHANJO YA COVID-19
Hii ni mada ndogo iliyo katika MADA kubwa isemayo “ KUNA NINI NYUMA YA CORONA ?” ndiyo tunayoendelea nayo.
Hebu tutazame kidogo yanayoendelea ulimwenguni.
Huko Marekani: “Juni 23, 2021—Zaidi ya watumishi 150, wa Hospitali ya Houston Methodist, wamefukuzwa na wengine kuamua kwa hiali kuacha ajira baada ya kukataa kufuata masharti yanayowataka waajiriwa wa HOSPITALI hiyo kuchanjwa chanjo ya COVID-19.” Habari kama ilivyotoripotiwa na The Associated Press[1]
Wakati hayo yakijili Serikali ya Punjab, Pakstani yenyewe imetangaza kuwafungia laini za simu raia wote watakao kataa kuchanjwa chanjo ya COVID-19.[2]
Naam, habari hizo ni nzuri au ni mbaya?
Katika mada yetu, iliyopita ikiwa imebeba kichwa cha mada mama, “Kuna Nini Nyuma ya Corona?”
tulitazama kwa ushahidi tele ya kwamba kilicho nyuma ya Corona ni “Serikali Moja ya Dunia”
Na ya kwamba, Corona ni nyenzo tu inayotumika kufanikisha usimikwaji wa serikali, hiyo.
Ambayo pia itahitaji raia wote wanaoishi kwenye sayari dunia kupewa siku moja ya pumziko.
Hiyo ndiyo vita inayoendelea nyuma ya kile kiitwacho Covid-19.
Ukweli ni kwamba kilicho nyuma ya corona ni cha hatari kuliko covid-19 yenyewe.
Ezekieli 7:5 “Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja.”
Uhusika wa Chanjo ya Covid-19
Kama lengo la corona ni kufanikisha usimikwaji wa serikali moja na dini moja ya dunia, kama tulivyoona. Kwa nini chanjo tena?
Ahaa! Vizuri kama umeuliza swali hilo.
Tukizingatia kwamba Chanjo ya Covid-19, walioileta ndio wale wanaotafuta kusimika hii serikali.
Sasa kumbe kupokea chanjo hiyo ni kufanyaje?
Jibu ni rahisi sana. Ni Kupokea au kukubaliana kabisa na matakwa ya serikali hii ya ulimwengu.
Naam, ndivyo!
Na kuikataa pia nikupingana nayo vile vile.
Weka akilini kwamba kilicho nyuma ya Covid-19 ni kizito mno kuliko Covid-19, yenyewe.
Sahau yote lakini hilo kamwe usisahau.
Chanjo ya corona ina mambo matatu muhimu :
(a)kuwaandaa watu kiakili (kuwabadili wakazi wa dunia kifikra wamwabudu Lucifa pasipo kushituka wala kuhoji.
Kinachofanyika kwenye chanjo hii ni kile kiitwacho genetic engineering kubadili viasili (vina saba).
kwa lugha iliyonyepesi sana, ni kwamba Chanjo hii, inakwenda mpaka pale utu wako ulipo, inaupakuwa utu huo kisha inakuwekea utu mpya, uliotengenezwa na wakuu hao.
Kwa hivo Covid-19 imebeba genetic modifiers -viasili vinavyofanya deliberate modification ya kiumbe.
Covid-19 Vaccine -ni modifier materials- vilivyotengenezwa kisayansi kuchochea mwelekeo wa tabia wanayoitaka wakuu hao iwe ndani ya wakazi wote wa dunia, ili wamwabudu Lusifa.
Kwakufanya hivyo wana uhakika ye yote atakayejidanganya kupokea chanjo hiyo atakuwa tayari amekubali kubadilishwa fikra kukubaliana na matakwa ya kile serikali hiyo moja na dini yao ya ulimwengu inacholeta.
Biblia ikasema:
“Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Mtu akiwa na sikio na asikie.” -Ufunuo 13:8-9
(b) kazi namba mbili ya chanjo hii, ni kupunguza idadi ya wakazi wa dunia.
Hii chanjo itafanya kazi ya mass depopulation .
Kwa namna ambayo hatuwezi sana kuileza sasa lakini ambayo itadhihilika baada ya ulimwengu mzima kuwa umechanjwa.
(c) kazi nyingine ya chanjo ni kuwasajili watu katika daftari la kudumu la raia wa dunia, kisha kuwapa kitambulisho cha dunia (covid passport).
Na hatimaye mtu hataweza kuuza wala kununua chochote pasipokuwa na kitambulisho hicho.
Katika tukio la kufukuzwa, na wengine kwa hiali yao kuacha kazi, lililotokea katika hospitali ya Kanisa la Methodist, hapo juu; kabla Uliwekwa utaratibu wa sheria iliyowataka wafanyakazi wa hospitali hiyo waliopata 26000, wachague ama wachanjwe au wafutwe kazi.
Miongoni mwao 178, walikataa kuchanjwa, na wakapewa matazamio ya kujirekebisha ndani ya wiki mbili. Ambao hata hivyo hawakubadili msimamo wao.[4], The Associated Press reported.
Tukio kama hilo liko mbele ya umma mzima wa dunia. Utachanika vipande viwili, vilivyowazi kila mahali. Kuanzia kwenye ajira, hadi kwenye ndoa, familia, kitongoji, hadi ndani ya ukoo kutakuwa na mipasuko, mpaka ngazi ya taifa na kimataifa.
Ni wale tu watakao kuwa na kitambulisho hicho cha chanjo ya covid-19, ndio wataruhusiwa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine, kupata huduma za kijamii, kama maji, umeme, matibabu ya hospitali n.k..
Kwa hiyo jaribio lolote la kukataa Chanjo ya Covid-19, au kutofuata masharti yanayotolewa juu Covid-19, ni kusaini hati ya kifo.
Maana utakuwa unawakwamisha mipango yao.
Kukataa Chanjo hiyo au kubalina na masharti yake ni kukwamisha usimikaji wa serikali moja na Dini moja ya dunia.
Dunia nzima tunasiamama katikati ya uamzi mgumu sana; kuwako au kutokuwako.
Tuko kwenye kizingiti cha umilele -kufa au kupona. Uzima na mauti VYOTE viko mbele yetu.
Fikiria kama ilivyokuwa mlengo wa rais huyu na raia wake walio wengi kupinga swala la CHANJO ya COVID-19.
“Tumewabana kisawa sawa ” alisema rais huyo na kuongeza “ adui yao mkubwa ni mimi; kwa sababu nina kwamisha mambo yao .
Lakini mimi ninakwamisha kwa niaba yenu….hawawezi wakafurahi.
…kwenye swala la Corona tulitakiwa tufungiwe wote …" alisema rais Magufuli na kuendelea:
" Tukaambiwa tujifungie kwenye nyumba .
Ukiwa na boda boda yako, usiende kuiendesha, ukiwa na duka lako kioski usiende kufungua, ukiwa na basi lako usiende kuliendesha,
_
hutakiwi kutoka mahali fulani kwenda mahali fulani, ukiwa na shamba usiende kulipalilia. Ulikuwa ni utumwa mkubwa_ .
Walitaka walete machanjo ya ajabu…tutumike sisi kama wanayama wakufanyiziwa majaribio, NIMEWAKWAMISHA, Tanzania MMEWAKWAMISHA . …
Lakini kujitoa hivyo ni sadaka, hawawezi wakafurahi .” --Hotuba ya Rais Magufuli, akiwa Segerea.
Sasa KUMBUKA tena kauli ya mzee wetu Papa Francis alivyosema ya kwamba: “ hatua ya watu kukwepa kupata chanjo ya Covid-19 ni mauaji ya kujitakia ”
Huku akiongeza tena kwamba watu wa jinsi hiyo wanacheza na Manisha yao lakini pia“ wanacheza na maisha ya watu wengine.” [3]
Kwa hiyo kama tulivyoona, kufikia hapo; Tanzania ilikuwa tayari imecheza na maisha ya watu, pale ilipo kataa kutii sheria za kimataifa juu ya janga la Covid-19 .
Na wakuu wa serikali moja ya dunia ilikuwa sharti wafanye jambo, litakalo badili hali ya mambo Tanzania, ili isiendelee kukwamisha harakati za SERIKALI MOJA YA dunia.
Fuatilia sana nyendo za rais Magufuli baada, na hata wakati mchache kabla ya kifo chake.
Utaona kwamba alikuwa akivutana uso kwa uso na viongozi wa Vaticani , akafikia kusema “Viongozi wa dini msitupotoshe!” pale alipotoa hotuba yake akiwa huko Chato.
Je, Mzee wetu Francis hakuwa miongoni mwa viongozi wa Dini, ambao Magufuli alisema wasiwapotoshe watu?
Jibu ni kwamba ujumbe wa rais Magufuli ulikuwa ukienda Kwa viongozi wote wa Dini hususani Papa Francis na timu yake.
Hebu, tazama kile kinachoendelea sasa kati ya serikali na viongozi wa Vatican mathalani kwenye kikao cha Mh. Rais na Baraza la Maaskofu Katoliki –TEC ., ambao kiprotokali wanatekeleza maagizo ya Papa Francis, je, hawapotoshi? WANAPOTOSHA! tena 100%
Sasa Tanzania sio tena mgeni wala mpitaji katika swala la Covid-19. Ila ni mshiriki na mlithi wa mikopo ya Benki ya dunia na IMF , ili kufadhili na kurubuni akili za wanaosimama mbele, wafuate matakwa ya serikali hii moja.
Je, ni akina nani walio nyuma ya agenda hii?
Una bahati, kama umethubutu kuuliza swali hilo. Walio nyuma ya agenda hii ni hawa: (I) Mnyama , (II) Sanamu yake .-
Hao ndio wahusika wakubwa wa kinachoendelea.
Ufunuo 14:9-12
“Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake , na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu. Naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Tuungane wote wakati ujao. Tutakapoanza kuwachambua wahusika hao wawili kina. Ufunuo 14:9-12.
Huo ndio unabii wa mwisho wa Dunia unaosukumwa sasa kupitia Covid-19 , nasi tutauhubiri
Kuukwepa ni kuamua kutembea kwa miguu yako miwili kuingia jehanam
Asomae na Afahamu