Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.

Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.

Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .

Inasikitisha sana, watafutiwe maeneo rasmi wakafanyie biashara huko,na waliohusika kuvunja ikionekana hawakutenda kwa mujibu wa sheria wawajibishwe..
 
Kwa hili la wamachinga na namna wanavyoendesha shughuli zao ni mtu mjinga pekee ama machinga mwenyewe anayeweza kulitetea. Ni kweli kila mmoja anatakiwa kuwezeshwa kupata riziki yake lakini iwe kwa utaratibu. Mji umekuwa kama vijiji vya ujamaa?
Siku zote kitambaa cha kaniki kitabakia kuwa kaniki tu.

Wamachinga walidanganywa sana na mwendazake kuwa ccm inawajali sana hivyo wakaingia mkenge na kuisapoti mwaka 2015.

Leo hii yule bwana hayupo tayari wameanza kilio cha samaki .
Nawashauri wajue kuwa ccm haijawahi kuwa na huruma .

View attachment 1949458
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom