serikali

  1. JamiiForums Tanzania Nani anapanga tozo za tunazolipa Serikali za mitaa?

    Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni. tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi. Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
  3. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
  4. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kususia bidhaa/huduma kushinikiza Serikali ifate matakwa ya wananchi

    Wasalaam wanaJF, Nikienda moja kwa moja kwenye mada, serikali iliyopo madarakani imekuwa na kawaida ya kudharau sana wananchi na kufanya wanachotaka. 1. Kodi zisizo na ulazima tena kwa vitisho na kejeli. 2. Matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Hii sio kwa wapinzani tu, kuna raia wa kawaida...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  6. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Hivi ndivyo Serikali inapaswa kuwa

    Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge. Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani. Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na tume huru ya uchaguzi isiyoteuliwa. Tume ya uchaguzi iwe ni taasisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Salamu zimfikie ndugu Samia Huku mtaani ndugu rais kuna malalamiko, wananchi wanasema hawakusomi, hawakuelewi, na nitakueleza nilichosikia huku mtaani! 1. Suala la tozo za miamala Wananchi wanakusikilizia tu waone utafanya nini, lakini wameanza kuona dalili za wewe kupiga konakona. Kuna kila...
  8. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

    Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia yagoma kuondoa tozo za miamala ya simu

    Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha. Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anawapumbaza kondoo wake, muda si mrefu atachoma chanjo

    Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita alimdhihaki sana lakini samia kapiga kimya Mchungaji kaanza kupiga u-turn taratibu, ibada iliyopita...
  11. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Usifanye siasa kwenye chanjo; uhai wako sio mali ya Kanisa, Serikali au Msikiti

    "Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imekurupuka kwenye chanjo ya COVID-19?

    1. Rais wa awamu ya 5 Hayati JPM mpaka umauti unamkumba hakubadilisha msimamo wa serikali yake kuhusu chanjo ya UVIKO 19. Alisema wazi kila mahala alipoenda kwamba huu ugonjwa ni hofu inayoenezwa makusudikally kuwatisha watu na kuyumbisha mataifa duniani. Alienda mbele zaidi kwa kusema Chanjo...
  13. JamiiForums Tanzania Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yajielekeza kuondoa kabisa tatizo la usikivu wa radio ifikapo 2025

    SERIKALI YAJIELEKEZA KUONDOA KABISA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025. Mpaka sasa asilimia 66 ya maeneo ya kijeografia yanapata mawasiliano Yafungua milango kwa wadau kutumia miundombinu ya Serikali Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe, Dkt. Faustine Ndugulile amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kulipa kodi ya ardhi ya Serikali kwa awamu?

    Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu, Je, serikali ina utaratibu huo? Kama upo, procedures ni zipi? Nawasilisha
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali wapike pilau na nyama pia na soda kwenye vituo vya kutolea chanjo

    Nimeona taarifa ya wizara kua chanjo itaanza kutolewa Agost 3 Nashauri Serikali yetu pendwa chini ya Rais samia, wahakikishe kwenye vituo vya chanjo kuna Chakula Napendekeza Pilau na nyama Upande wa nyama wenyewe kama ikiwepo ya kuku itapendeza zaidi lakini wa kienyeji au kama kuku itakua ni...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi Muleba waiomba Serikali kuwafikishia mawasiliano ya radio na simu

    WANANCHI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUWAFIKISHIA MAWASILIANO YA REDIO NA SIMU Wananchi wa Wilaya ya Muleba wameiomba Serikali kuwafikishia huduma za mawasiliano ya redio na simu wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew wilayani humo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

    Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona --- Nahisi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uboreshaji wa Shirika la Posta

    Asante sana wana jukwaa wenzangu bado tunatumia fursa hii ya Uhuru wa kujieleza kulingana na katiba yetu kwa kuzingatia maadili na mipaka ya Democracy. Leo napenda kujadili au kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya shirika letu la Posta Kabla ya kuendelea nitoe pongezi ya dhati kwa Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iongeze chanjo aina nyinginezo

    Kwakuwa serikali imeamua kupambana na Covid -19 kwa chanjo, na kwakuwa zipo aina mbalimbali za chanjo ya CORONA, Nakwakuwa pia wapo waliodhamiria kuipata chanjo hiyo basi ni vyema wakaongeza na aina nyinginezo, ili pengine mtumiaji akawa na uhuru wa kuchagua apatiwe aina ipi. #maonihuru.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…