Nani anapanga tozo za tunazolipa Serikali za mitaa?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni.
tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi.

Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
 
Hao wanaojiita ulinzi shirikishi, ukikutana nao usiku wanavaa kama majambazi. Marungu na magongo mengi as if wanaenda kuvunja sehemu. Ila bado watu wanaibiwa.

Wanaokusanya hizo kodi za taka na ulinzi shirikishi, wakija kugonga mageti wanakuja na jazba sana.
 
wajinga saa hawa jamaa
 
Mkuu mm nalipishwa elfu 15 ya takataka kila mwezi, na gari lenyewe linapita linavyotaka yaani unaweza ukaisha mwezi mzima limepita mara moja tu au halijapita kabisa.
 
Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni.
tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi.

Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
wahuni flani tu huko maofisini hata ukifuatilia hawakuambii ni nani yaani imekuwa kero kama kodi vile wakianza kukungangania
 
Back
Top Bottom