Habari zenu?
Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo.
badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari,
watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge...
Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu.
Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi.
Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo.
Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko...
Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania.
Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya.
Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni.
Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni.
Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio tatizo.
Sioni sababu yoyote ya kufanya Jambo Hilo kuwa lazima, kiasi kwamba kama hauna Kadi...
Wanajukwaa, nadhani serikali yetu inabidi iangalie kwa umakini mkubwa haya mambo ya ukatili ndani ya hii nchi. Kuna mambo ya ajabu mno.
Mara kwa mara naenda Mikocheni kumtembelea mchumba wangu anayeishi Mikocheni Baraka Plaza Apartments, na mara nyingi nawakuta vijana wale wale waigwa lindoni...
"Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala".
"Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema wizara ya habari iko mbioni kuanzisha Television ya serikali itayorusha mambo ya maendeleo yanayofanywa na serikali.
Television hiyo itakuwa tofauti kabisa na TBC kwani itarusha mambo ya msingi ya serikali amesema Msigwa.
Chanzo: Clouds tv
Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu?
Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini?
Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR?
Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu?
Ni nini hatima ya...
Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea!
Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango.
Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
Habari!
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote.
Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
Jana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley:
Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda"
Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote...
Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania.
Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali.
Lakini kitu nilichoona...
Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali
1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha
2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika
3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola
4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.