serikali

  1. Replica

    Tatizo la mfumo wa Luku, Mbunge Kingu ahisi ilikuwa ni 'Sabotage' kwa Serikali

    Akiwa Bungeni mkoani Dodoma, Mbunge Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza Waziri wa Nishati kwa Kazi kubwa anayoifanya na kushangazwa na sintafahamu iliyotokea kwenye mfumo wa Luku na kwa upande wake alihisi ni 'Sabotage' kwa serikali ya Chama cha Mapinduzi. Amempongeza Waziri kwa...
  2. Replica

    Mbunge Josephine Genzabuke, aishukuru Serikali ya CCM kwa kupata Mkopo wa Sh. Bilioni Laki Tatu

    Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu...
  3. Buyaka

    Kauli ya Rais Samia kwa wananchi akiwa Kariakoo kwamba "Serikali inawabeba" ina ukakasi

    Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
  4. B

    Hazina na Serikali Mtandao chunguzeni ufanisi wa malipo ya serikali kupitia control number, huenda tunapigwa kama Rais Samia alivyowahi kutahadharisha

    Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi. Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii. Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
  5. Posho City

    Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Maafisa utumishi mliopo humu tunaomba mtwambie, sasa ni wiki ya pili mfumo LAWSON haupatikani nchi nzima. Tatizo ni nini na itarejea lini? Fomu yangu ya mkopo imekwama mezani kwa hii wiki ya pili sasa kisa mfumo!
  6. Erythrocyte

    Mchungaji Msigwa na Joseph Mbilinyi wafungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga unyanyasaji Magerezani

    Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa. Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

    Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
  8. Analogia Malenga

    Mwaka 2019-2020 Serikali ilikamata cocaine na heroin kg 426.363, bangi na mirungi Tani 26.34

    Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha mwaka 2019 hadi 2020 jumla ya Dawa za Viwandani Kilo 426.363, pia bangi na mirungi Tani 26.34 zilikamatwa. Amesema Serikali imebaini mitandao ya...
  9. J

    Anthony Mavunde: Serikali isiendeshe Timu zetu za Taifa kwa kuungaunga

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Michezo hapo jana.
  10. STUKA M1

    Tarehe ya kufunga na kufungua shule za serikali kwa likizo ya kumaliza muhula wa 1, 2021

    Waalimu naomba mnisaidie hii, Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
  11. OLS

    Michezo ya bonanza(Dubwika) imekuwa mingi mitaani watoto wanaathirika, serikali iangalie hilo

    Mchezo ya Mchina, maarufu kama dubwika iko mingi sana mitaani kutokana na namna yetu ya maisha inawaathiri watoto kwa kiasi kikubwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Januari 23, 2019 iliamuru kutokuwa na matangazo ya kwenye redio na tv kwa michezo ya kubahatisha ambayo walilenga michezo ya biko na...
  12. Miss Zomboko

    Spika Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio kuwa malori ya Dangote yanaharibu barabara ya Mtwara

    Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio ambavyo havina msingi kuwa malori ya kampuni ya Dangote yanaharibu barabara za mikoa ya Lindi na Mtwara. Amesema kinachotokea ni barabara hizo kujengwa chini ya kiwango, kwani ni jambo linalofahamika kwamba malori hayo...
  13. Jembemtaji

    Vyuo visivyotambuliwa ndio vyuo gani?

    Mara nyingi zinapotoka nafasi za kazi hasa zile zinatangazo Serikali. Kunakua na kukusisitiza waombaji wawe wametoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Sasa najiulizaga maswali sipati majibu 1. Vyuo ambavyo havitambuliwi na serikali ni vipi? 2. Kama havitambuliwi mbona wanatambua kua...
  14. U

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF)

    Wadau wa JF Nawasalimi kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Mei 31, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta binafsi Nchini ( TPSF) Mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni Jijini Dar...
  15. Sky Eclat

    Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

  16. Idugunde

    Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  17. J

    Serikali yaipongeza Bakwata kwa kuanzisha Bakwata Online Academy

    Waziri wa Utumishi mh Mchengerwa amesema serikali inaipongeza Bakwata kwa kutia mafunzo ya uongozi kwa waumini wake kwa njia ya Tehama iitwayo Bakwata Online Academy Kadhalika Mchengerwa ameimba wananchi kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakati wote. Chanzo: Channel ten
  18. kavulata

    Kwa manufaa ya Taifa, Serikali izihamishie pengine zile taasisi za kidini Kurasini kupisha Bandari

    Pale ilipo TEC na Pentecost pale kurasini zinatatiza sana kazi za bandari ya Dar es salaam. Kuna ubaya gani serikali ikafanya mazungumzo kama ikivyofanya na wakazi wengine kuzihamisha zile taasisi pale zilipo kwa manufaa ya bandari? Malori ya mzigo yanakosa maegesho kwakuwa hakuna nafasi ya...
  19. beth

    Brazil: Wananchi waandamana kupinga namna Serikali inashughulikia janga la Corona. Washinikiza chanjo zaidi zitolewe

    Maandamano yanaendelea Nchini Brazil kuhusu namna janga la COVID-19 linavyoshughulikiwa na Serikali ya Rais Jair Bolsonaro. Katika Mji Mkuu wa Brasilia, maelfu ya watu wamekusanyika mbele ya Jengo la Bunge wakitaka Rais kufunguliwa mashtaka na kushinikiza upatikanaji wa Chanjo zaidi. Pia...
  20. beth

    Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

    Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo. Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20...
Back
Top Bottom