serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ni wakati muafaka wa kuwa na "Desalination plants" kutoka baharini

    Tanzania ni nchi iliyozungukwa na maziwa na bahari, huku ikiwa na mito mbali mbali yenye kutiririsha maji nchini. Tanzania kwa kiasi kikubwa kuanzia mijini hadi vijijini utegemea sana maji ya mito na mabwawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani. Kutokana na shughuli za binadamu...
  2. JamiiForums Tanzania Rai: Serikali ifanye uchunguzi wa haraka Mkoa wa Kilimanjaro na kuyeyuka theluji mlimani. Yawezekana ni Sabotage

    Joto linalotishia mazingira ya asili ya Mlima Kilimanjaro ni questionable! Ongezeko la joto hadi 40+ kwa siku za karibuni ni kiashiria cha mpasuko mkubwa wa Ozone layer kwa anga linaloambatana na eneo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo wa kinachoitwa"global warming" na effects zake siyo regional...
  3. JamiiForums Tanzania Umeme-its time Serikali iinvest kwenye umeme mbadala

    Hello JF Mmeshuhudia kutokuwepo umeme kulivyoleta tafrani Unlike other countries nchi yetu imebarikiwa na Jua most of the time of the year... Sijui kiundani kuhusu umeme wa jua (solar power/system) ila tunaweza kutumia jua ambalo liko free...just incase... Kutokua na umeme kuna athiri vitu...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ingeruhusu/Ingerahisisha sekta binafsi kuwekeza kwenye microhydropower dams na kuuza umeme locally

    Tanzania ina potential kubwa sana ya uzalishaji mdogo wa umeme wa maji. Hizi ni zile zinazoweza zalisha 5KW hadi 10MW. Utafiti uliofanyika unaonyesha mikoa kama Ruvuma, Rukwa, Njombe, Mbeya, Songwe, Kagera na zingine kwa kiasi zina potential kubwa sana za micro hydro dam, ni kama inafika 500MW...
  5. JamiiForums Tanzania CAG 2019/20: Mapungufu katika Usimamizi wa Mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa; 1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ijenge ofisi za makao makuu kwa kila chama cha upinzani kilichoasisiwa 1992

    Kwa sababu wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa ukianza rasmi 1992 CCM ilibahatika kurithi mali zote ilizozimiliki wakati wa mfumo wa chama kimoja ambazo kimsingi zilikuwa ni mali za watanzania wote. Ikumbukwe kuwa vyama vya upinzani 1992 viliundwa na wanaccm wenye mawazo mbadala na hiyo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

    Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini. Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote...
  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  9. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo michango ya nini wakati mna ruzuku na mnaunda Serikali?

    Mkutano Mkuu @ACTwazalendo ⁃Kuchagua Mwenyekiti wa Chama Taifa ⁃Kuchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama ⁃Kuzindua Mfumo wa kisasa wa uandikishaji Wanachama ⁃Kuzindua Mkakati mpya wa Siasa ili kuimarisha Demokrasia TUNAOMBA MCHANGO WAKO KUFANIKISHA MKUTANO WETU https://t.co/8e1AA2HLEz
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  11. JamiiForums Tanzania UN: Takriban watu 1,000 wanashikiliwa Nchini Ethiopia

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021 Maelfu wamefariki dunia na zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na mzozo kati ya Mamlaka...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi akaunti ya Serikali ya TCCIA ku-follow changudoa mitandao ya kijamii?

    Kama mnavyoona hapa yaani hata ukiwa unatumia account ya company huwezi KUFOLLOW account za Instagram za machangudoa
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

    Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani kutoa Bilioni 437 kwa ajili ya Miradi ya Afya

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kupokea kiasi cha shilingi Bilioni 437 kwa kipindi cha miaka 5 kwaajili ya miradi ya Afya inayolenga kuwafikia wananchi katika ngazi ya jamii. Hayo yamesemwa leo 15 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
  17. JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wana CCM dhidi ya Rais Samia na Serikali yake ni akina nani?

    Black mailing dhidi ya Rais Samia Kuna kundi wamedhamiria kufanya blackmailing. Ofcourse wako bado serikalini na wako na vyeo vyao. Rais Samia hakutaka kuwatoa wote tunajua hakutaka lawama lakini wedhamiria kumblack mail Mama Tumeona wanaprovoke kwenye baadhi ya mambo wakipinga ziara za nje...
  19. JamiiForums Tanzania Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

    Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo, halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera chini ya kampuni ya ujenzi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…