serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani

    Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Yaipongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Kwa Uwekezaji Mkubwa, Kujenga Uwezo wa Technology Transfer, na Kutoa Ajira Kwa Watanzania

    Serikali imeipongeza Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kwa kuunga mkono juhudi za Tanzania kujenga Tanzania ya viwanda kwa kujenga viwanda, kutoa ajira, na kuleta teknolojia kwa Watanzania, ambapo kabla ya ujenzi wa kiwanda cha vilainishi, Tanzania ilikuwa ina aagiza lubricants kwasababu...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu

    Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri. Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kuna uwezekano wa Serikali kupoteza Mapato ya TZS 265.85 Bilioni

    Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu. Katika Serikali Kuu, kumekuwa na ongezeko la upotevu wa mapato kutoka TZS 7.70 bilioni kwa mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Salaam Wakuu, Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo. Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye. Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais. Mkeka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

    Mtaa maarufu wa Ufipa uliopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam umekumbwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha leo. Wakazi wa mtaa huo wameiomba serikali kuwaondolea kero hiyo inayosababishwa na ujenzi wa barabara. Ufipa st ndipo yalipo makao makuu ya chama kikuu cha upinzani (Chadema)...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

    Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao. Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi. Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

    Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa? Vipi hii kuwahusu hawa wengine? Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017 Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ina habari juu ya upandaji hovyo ya bei ya vitu?

    Nina masikitiko sana kuhusu kupanda hovyo kwa bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nitoe tu mifano michache niliyoyaona. Kwa siku za karibuni nilikuwa nanunua gesi ya kupikia kilo 15 kwa Tshs.51,000 leo gesi ilipoisha nikaenda kununua na nikaambiwa bei ya gesi ya kilo 15 ni Tshs.59,000...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

    Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

    Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo. Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ni chanzo cha masomo ya ziada kwa watoto

    Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha maswali ya mitihani na hata kuiiba mitihani yenyewe. Serikali Ina mchango mkubwa sana kwenye hili...
  16. JamiiForums Tanzania Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

    "Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole My take: Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

    Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray. Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali endelezeni Bandari ya Tanga hakuna haja ya Bandari mpya

    Serikali inatakiwa kuwekeza na kuendeleza bandari ya Tanga badala ya kujenga bandari mpya isiyo na ulazima na kuingiza nchi kwenye madeni yasiyo ya msingi kwa manufaa ya viongozi wachache. Bandari ya Tanga tayari kuna uwekezaji mkubwa unakuja na pesa za kampuni ya Total ya ufaransa ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…