serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Sakata la JATU PLC lazidi kupamba moto, Serikali yaingilia kati mgogoro wake na wanachama

    Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
  5. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inalazimisha wananchi wake waiseme vibaya na waichukie?

    Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo? Kwanini anafanya serikali yote ichukiwe kwa ajili yake peke yake? Je, watu wazuri na makini wa kuisimamia hiyo wizara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya sekta ya nishati ni tatizo la Serikali, kumtwisha Januari Makamba ni kutufanya watanzania mazuzu!

    Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana CCM hupigwa vizuri sana, Kila unapoekea Uchaguzi! Leo nimemsikiliza Karibu Mkuu wa CCM ,nimebaini...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ila huwezi kumjua

    Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea. Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua wala kumdhania ndani ya Ikulu Chamwino na Magogoni. Huyu kiongozi unaweza kumjua tu kutokana na ulinzi...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi Majengo ya Serikali: Wahandisi Wetu Mnakwama Wapi?

    Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi n.k. Kila siku yanaibuka kama uyoga lakini kwa ubora wa chini. Andiko hili linatokana na habari...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe Hivyo ukichukua...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuisapoti Simba SC

    Hakuna ubishi kuwa Simba ndio nembo ya Taifa hili kwenye medani za kimataifa ngazi ya klabu barani Afrika. Simba imekuwa tunu ya Taifa hili hakika tunapaswa kujivunia, huko nyuma tulikuwa wanyonge timu kutoka nje ya nchi zilikuja na kujibebea pointi na kuondoka zao. Hivi sasa kuna klabu gani...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

    Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya. Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa. Tahadhari kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Serikali za Mtaa hazishauri Serikali Kuu badala yake zinapokea maelekezo kutoka Serikali Kuu

    Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya serikali badala ya kuwa sehemu ya mafanikio ya serikali. Mbunge ameyasema hayo bungeni ambapo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta: Spika Tulia asema Bunge ndio linatunga Sheria sasa kama Serikali haitekelezi basi kuna tatizo kubwa

    Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda. Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC...
  16. JamiiForums Tanzania Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

    Abdi Banda amenukuliwa na mtandao wa Kick Off Magazite wa South Africa Banda is a former Simba player who has also been on the books of Baroka and Highlands Park but now features for Mtibwa Sugar in the Tanzania top league. "Morrison is a guy that will be out to prove a point to Pirates...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa hali mbaya ya bei za bidhaa na uhaba wa chakula, Serikali ichukue hatua kuelimisha wananchi

    Uchumi unajengwa na mambo makuu mawili tu uuzaji na ununuaji iwe bidhaa au huduma (Demand and Supply). Mnyororo huu ukiyumba wa uuzaji na ununuaji tegemea maafa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi Hali mbaya ya maisha ilishaonekana hata kabla ya vita na niliandika uzi huu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…