serikali

  1. JamiiForums Tanzania Riziki Shahari: Hakuna Elimu Bila Walimu, Serikali Imalize Ukosefu wa Walimu

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari, Jana tarehe 10 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipokea na kuanza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje analipwa zaidi ya dola 350 Kwa siku sawa na zaidi ya Tsh 400,000

    Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo. Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano Sri Lanka: Serikali yatoa madaraka ya dharura kwa Jeshi na Polisi

    Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
  5. JamiiForums Tanzania SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili . Athari zake ni kubwa kwa Taifa zima. Leo mimi ngefungwa tu kwa kweli

    Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

    Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine. Hali hiyo ilipelekea ongezeko la nauli kwenye daladala ambalo mara ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tukifanya Haya Rais wetu Samia na Serikali yake Wataeleweka tu

    Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga tumeona ,Lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nembo ya Bibi na Bwana isitumike kwa kila mtu

    Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Sio Baba, Mama au Mjomba; Sio lazima kuisubiri Serikali kwa kila kitu

    Sio Lazima Kuisubiri Serikali Kwa Kila Kitu. Masikini Watanzania wengi bado wanadhani serikali ni baba mama au mjomba. Ukifuatilia taarifa za habari zilizoko redioni, magazetini na kwenye runinga utashangaa jinsi watu wanavyoisubiri serikali iwafanyie vitu ambavyo wao wenyewe wangepashwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu magari mengine kutumika kama daladala mida ya jioni na usiku mkoani Dar-es-salaam

    Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH) yaruhusiwe ili kuondoa mateso na adha kwa abiria. Ushauri huu ni Kutokana na unwell kuwa katika mida...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali izingatie haya ili bei ya mafuta nchini ishuke

    SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE. Na Bwanku M Bwanku. Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na Ukraine ilivyopaisha Sakata la Kupanda kwa Bei ya Mafuta kwenye Soko la Dunia kulikoathiri Bei...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tusilaumu Serikali kwenye bei ya mafuta

    Tuacheni utamaduni wa kulalama kila kitu. Bei ya mafuta hakuna njia zaidi ya kuombea vita ipungue na uzalishaji uongezeke. Mimi binafsi ninaishi jimbo marekani ambalo linaongoza kwa uzalishaji hapa USA na kwa takwimu USA wanaongoza Duniani kwa uzalishaji lakini bei ya petroleum hapa ni sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

    Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa. Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka. Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika. Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Wasomi wanaogopa kukosoa Serikali ili wapate teuzi. Hawana msaada tena kwa jamii ya Watanzania

    Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali chunguzeni mizani ya Himo

    Ile mizani kila wakikuambia rudia kupima inaongezeka uzito, mfano wakikwambia rudi mara tatu inakuwa na ongezeko tofauti mara zote unazopima! Hii tabia Hayati Magu alijua na aliwazukia na waliacha mambo haya lakini tangu amefariki mwenda zake we are back to business, amebaki Majaliwa tu nae...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hawa mbuzi wanaozagaa maeneo ya Mbezi Tangibovu ni wa Serikali?

    JF, Kwa kweli nimekuwa nikipata shida sana kuona mbuzi Hawa wanazagaa barabarani hovyo wakati Sheria za kutunza wanyama zipo wazi. Je wale ni wa Serikali au? Kwasababu najua kabisa wangekuwa wa mtu binafsi wangeshakamatwa zamani na kutozwa faini. Nani au Mamlaka gani ya Serikali inawajibika...
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

    Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications. kamwe tusikubali. Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani zinalink na wafanyabiashara wakubwa wa mafuta.je kwa nini zilianzishwa ghafla na kwa nini tupo hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…