serikali

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

    Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo. Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road. Nmemaliza.
  2. Anna Mwandosya

    JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

    Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu. Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha? Kwa muda mrefu tumekuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

    Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine. Na hii ni baada ya maisha Yao kuguswa na kupanda kwa gharama za maisha kunakotokana na uhaba wa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa serikali inaingia mikataba bila kuishirikisha Bunge kama kweli kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali?

    Nauliza tu maana sielewi vizuri sana maana mambo ya kiwa hovyo huwa naona bunge linasema iundwe tume kuchunguza jambo fulani.
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya serikali ya bilioni mia moja kwenye mafuta ni kituko katika kupunguza bei ya mafuta

    Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo. Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

    -kuweka hamira kwenye wali -kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu), -kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande) -viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo. -kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gari la Serikali lanaswa likisafirisha Bangi, dereva asimamishwa kazi

    Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi. Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu. Chanzo: Ngilisho...
  10. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Riziki Shahari: Hakuna Elimu Bila Walimu, Serikali Imalize Ukosefu wa Walimu

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi: Ndugu Waandishi wa Habari, Jana tarehe 10 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipokea na kuanza...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje analipwa zaidi ya dola 350 Kwa siku sawa na zaidi ya Tsh 400,000

    Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo. Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Maandamano Sri Lanka: Serikali yatoa madaraka ya dharura kwa Jeshi na Polisi

    Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili . Athari zake ni kubwa kwa Taifa zima. Leo mimi ngefungwa tu kwa kweli

    Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina...
  16. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

    Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine. Hali hiyo ilipelekea ongezeko la nauli kwenye daladala ambalo mara ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tukifanya Haya Rais wetu Samia na Serikali yake Wataeleweka tu

    Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga tumeona ,Lakini...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nembo ya Bibi na Bwana isitumike kwa kila mtu

    Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
  19. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  20. Augustine Moshi

    JamiiForums Tanzania Serikali Sio Baba, Mama au Mjomba; Sio lazima kuisubiri Serikali kwa kila kitu

    Sio Lazima Kuisubiri Serikali Kwa Kila Kitu. Masikini Watanzania wengi bado wanadhani serikali ni baba mama au mjomba. Ukifuatilia taarifa za habari zilizoko redioni, magazetini na kwenye runinga utashangaa jinsi watu wanavyoisubiri serikali iwafanyie vitu ambavyo wao wenyewe wangepashwa...
Back
Top Bottom